Miaka ya mbele sayari ya marsi kutengenezwa dunia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,414
Si ajabu kuona leo tuna tumia simu janja miaka ya sasa ila ingekuwa miaka 1200 B.c (kabla kristo) kingekuwa kinaelezwa tungemchukulia chizi kwa kuwa uwezi kukubali ujakiona.

Matajiri wakubwa kama Elon musk wa space X kujitolea kuboresha usafiri wa anga ya mbali kufikia sayari hiyo inayotajwa kutwa na mchana.


Na tajiri mkubwa wa amazon jeff bezos naye kuamua kujikita kwenye makazi ya huko


Na wengine.huku mashirika makubwa yakiendelea kujikita kabisa tutaishi vipi huko kupitia baba lao NASA na wengine wanao boresha leo na kesho.

Lakini cha kushangaza kwa nini mars ina asilimia 95 kuwa kama dunia yetu


Wanasayansi wamegundua mfumo wa kikemia jinsi ya kutenganisha gesi ili kupata hewa ya oxygen na mafuta .

Je hewa hiyo inaweza kupatikanaje wakati asilimia 0.1 ndio kundi lilopo oxygen ndani.



Sayari ya marsi ina zingilwa na hewa ya carbon dioxide

Kikemia ni kampaundi inayounganisha atomi mbili za oksijeni na atomi moja ya kaboni katika molekuli. Fomula yake ya kikemia ni CO₂

Tunajua vyote tunavo tumia plastic,pombe,mafuta,virutubisho,mbolea,uchafuzi wa mazingira n.k asilimia kubwa vinaundwa na carbon.

Asilimia 90 ya vitu vingi carbon inatumika sana (organic chemistry)


tawi la sayansi ya Kemia linalochunguza kampaundi za kikemia zinazojengwa na kaboni. Inaitwa pia kemia ogania kwa sababu miili ya viumbehai wote inafanywa kwa maji na kampaundi ogania ya kikaboni.

Lakini sayansi hii inaweza kusibitisha kama hewa hiyo ya kikaboni mfano duniani bila miti hatuwezi kupata hewa hiyo japo inachakatwa na miti.


Kama wataweza kuchakata basi inaweza kusaidia miti itakayo pelekwa huko kupata hewa na kugeuza kuwa dunia,kwa sababu marsi inatabia zote za kidunia ila ina jangwa

Naomba tujadili kitalaamu tupate mawazo
 
Ndio kuna asilimia nyingi sana zaa hapo badae maisha ndani ya sayr ya mars
 
Kule atatokea yesu wao mwingine na wachungaji kama akina gwajiboy watatokea tu
Kuna series inaitwa the 100..ina kisa cha hivi watu walisafiri nje ya dunia...after sometime walitengeneza dini zao either waliworship founders waliwapeleka hiyo dunia au waliworship AI(systems zilizowapeleka huko)


Inshort wataanzisha dini zao na miungu yao..it seems the need to worship something greater and find a purpose of our lives is engraved in our DNA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahara Deser tu imewashinda wataweza Mars ambako hata gas inahitaji itengenezwe au wasafiri nayo?
 
Kwa maana hiyo Elon musk atakuwa mesiah huko Mars?
 
Sahara Deser tu imewashinda wataweza Mars ambako hata gas inahitaji itengenezwe au wasafiri nayo?

Inawezakana kwani dubai ni sehemu gani
 
Kwa maana hiyo Elon musk atakuwa mesiah huko Mars?
Possibly..coz just assume watu wakienda mars kupitia Yeye. halafu itokee incidence hawawezi kurudi.
Vizazi na vizazi huko vitakuwa vinaimba sifa zake ...wataanza kidogo kidogo kwa kumuita founder/pioneer kizazi kinachofuata watamuita genious kinachofata watamuita mtume/mteule kinachofata watamuita Alien kinachofata watamuita Nabii kinachofuata watamuita Mungu.

Kama ambavyo sisi tynajiuliza duniani tulikujaje Tunakosa majibu wengi wanasema tuliumbwa na Mungu basi hata wao Wakianza kujiuliza sisi tumekujaje hapa Mars wengi wataamini Mungu wao Elon Musk aliwaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ukute na sisi tulihamishwa kutoka sehemu fulani ujue!umeelezea vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…