Wapendwa, Kesho Mungu akijaalia nitakuwa nimetimiza miaka 7 toka nilipojiunga na Jamii forum, humu kumekuwa na mengi sana ya kujifunza, naweza nikapaita ni kama shamba lenye kila aina ya mazao!! ni wewe tu kuvuna unayoyapenda na kuacha usiyoyahitaji, wapandaji wa mazao wanapanda tu, mpaka mbigili zimo humu.
-----..!!