Nathamilla
Member
- Dec 11, 2017
- 23
- 26
Sikuwah kuwaza kama itatokea nikapitisha hata wiki bila kusex
Sasa natimiza Miaka miwili bila kukutana na Mwanamke kimwili baada ya kutoka Tanzania kuja kutafuta maisha nchi za kiarabu