In economics
Mfumuko wa bei unaletwa nakukosekana kwa uiano wa import vs export, enzi za magu kulikua na ukulima mkubwa unafanywa hivyo vyakula vilikua vinalimwa sn tena nakumbuka nyanya zilikua zinaozea mashambani kwakua alizuia baadhi ya bizaa kuingizwa hii ilisaidia soko la ndani.
Ukifanya more import/kulopa sn hii inashusha thamani ya hela yako ndio hapo kila kitu kinakua ghali because of currency volatility