reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
wanajamvi ni zaidi ya miaka mitatu tangu nimalize chuo kikuu ila cha kushangaza sina kazi hadi leo..; nlifaulu vizuri kwa kupata upper second, nlisoma b.com in materials management, kwa anayeweza kunisaidia naombeni kazi plz