Kwa katiba ipi na ni topic za ndoto hapaTumesema akae miaka 20 Au 23 ainyooshe nchi
Kwa katiba ipi na ni topic za ndoto hapaTumesema akae miaka 20 Au 23 ainyooshe nchi
Kila nikikaa jioni na mama chanja Huku tukiangalia habari mbalimbali za kitaifa huwa naona jinsi wasaidizi wake wanavyokimbia huku na huku kuona jinsi ya kukimbia kwa Kasi kimaendeleo km anavyotaka Rais wetu
Lakini furaha yangu sikuhizi siombwi tena pesa ya Ada kazi yangu imebaki kununua sare za shule na madaftari tu vingine vyote Magufuli anawalipia
Nikajiuliza hivi kuna Nchi yeyeto africa inaweza kuthubutu kulipia wanafunzi ada km anavyofanya huyu mzee?
Nimejaribu kutafuta kwa kweli sijapata
Nani km magufuli Africa? Au ndio maana ameshinda kuwa kiongozi wa sedic?
Ahsante magufuli kwa kutambua Elimu Ndio uti wa mgongo katika Nchi yeyote
Leo sitazungumzia zahanati kwa kila kijiji
Ahsante mzee kikwete kwa kutuletea chuma hiki
Yatarekebushwa watoto wa maskini wakiwa washapoteza uelekeo au nakosea?Km kuna mapungufu yatarekebishwa
inakia nyet pale ambapo inafuata misingi thabiti,ila kama mtu anaamka na miheko yake kitandan na kufanya reform bila tafit kufanyika matokeo yak ndo haya mtt wa std 7 hajui kusoma
wewe wa kwako anasoma bure?
Unaonekana wewe ni Zero. Kiswahili hujui, hata maana ya SADC hujui umeandika vitu wakati akili yako ni ndogo sana. Dah pole kwa mzigo ulio nao maana aiseeh!
Nchi zingine zote zinatoa elimu bora siyo bure elimu ya kutojua kusoma wala kuandika ingawa wahitimu wanamaliza na PhD. Awamu ya kwanza ilitoa elimu bure na bora mpaka Chuo Kikuu ndo ikawa mwisho wa wasomi bora.
Mkuu inaonekana ww bado hujatembea hata nchi moja ya afrika inaonekana hata hiyo nchi jirani yako ilio koloni la tanganyika hujawahi kufika(zanzibar) kwa ufupi ziko nchi nyingi za afrika elimu bure kwa Leo nitakutajia nchi 2 tu, zanzibar na South Africa, mkuu unatoa mada angalia na fact zake kwanza
Yatarekebushwa watoto wa maskini wakiwa washapoteza uelekeo au nakosea?
Kwa katiba ipi na ni topic za ndoto hapa
ww umejifunz nn zaid ya kusifia upuuzi ili upqte teuz?agopa mwanaume anaesifia mwanaume mwenzie ambae anatimiza majukum na si hisaniWewe ndio utakuwa hujataka kujifunza