Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,660
- 1,801
Naanzisha uzi huu kujaribu kuona Watanzania wana mawazo gani juu ya mustakbali wa nchi yao, hasa baada ya kasi kali ya awamu ya tano.
Tafadhali, shiriki hapa ukitoa ushahidi kwa mamb ambayo tayari yanafanyika/yatafanyika/au kuna ishara ya kufanyika. Pia kwa kuzingatia minyambuliko ya yale yanayokisiwa kufanyika.
Kwa mfano: miaka mine kuanzia sasa pato la taifa la Tanzania litakuwa mara mbili ya ilivyo sasa kutokana na kodi ya bomba la mafuta la Uganda, ongezeko la mizigo ya nchi jirani kupitia Bandari ya Dar Es Salaam.
Miaka mine kuanzia sasa, huduma za jamii zitakuwa nzuri zaidi kutokana na ongezeko la ukusanyaji wa kodi na upunguaji mkubwa wa rushwa. M
iaka mine kuanzia sasa, Tanzania itakuwa inajitosheleza kwa sukari kutokana na ujenzi wa viwanda viwili vipya vya bidhaa hiyo, na kwamba bidhaa hii itakuwa inauzwa kilo shs. 1,200.
Sasa endelea...