NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 36
- 55
AFANDE SELE - MIAKA 10.
Intro ..
Yeah.!!
Oooh.!!
Miaka 10
Imefika
Ya mfalume mimi
Imepita
viumbe wanakuja
wanazaliwa
wanakufa
wanaondoka
shwaa!!
Dunia hudumu Daima weweee!!
Chuki ya nani?
usinitanie..
Wewe..
"Verse... 1.
Sasa ni miaka 10 /
Tangu niwe mfalume/
Lakini Bado ni mimi /
Ndio ninayeimarisha Ngome/
Simba Dume, /
Najiamini..!!
Na amini/
Kwenye fani na waumini/
Wanaoamini /
Kile ninachofanya mimi/
Hapa chini ni madini/
Hata kama hayachibwi chini/
yanachibwa kichwani /
Na mchibaji namba one/
Bwana msindi suleimani/
Fundi wa vina mizani /
Kutoka mji kasoro pwani/
Niliaza kitambo/
Kwa kuonyesha tofauti ya mwanajeshi na mgambo/
"sure"
Kwa kufanya mambo/
kutunga sana nyimbo/
Zenye ujumbe kwa mafumbo/
Na vijembe zikapendwa na warembo/
Na masela kila pembe/
Zikavuka mpaka ng'ambo/
Wakaniita nikaimbe /
Muziki wangu ukawa nembo/
Nyumbani ukaleta sembe /
Ukaleta Ugali , miwali , mikachumbali/
Na ukanipa mwana mwali/
Sajali na watoto wawili/
Nikaaza kuvaa viatu/
badala ya kandambili/
Kuwa na pear mbili tatu/
Ikawa tena sio habari/
Sio stori/
Kweli maisha ni safari /
Muziki ni kama bahari/
Mashairi yangu ndio meli /
Na mimi kama msafiri/
Tayari nimeshakiri /
Pamoja na ukweli /
Ya kwamba mimi ni mkali/
Wa kuandika haya mashairi/
Amini bado sijawahi kupata tuzo ya dili/
Lakini sio hatari /
Mwakani nita change style/
Nami nimwimbie Daring /
Ni mlilie sana sheri/
Au nisifie suruali /
ilimradi tu na mie nipate tuzo hata mbili/
Labda vingezo wa badili
Au vip kadinali/
Ooh mwanangu!..
Chorus...
Yes Believe kumbe wapo wale ..!!
wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah
Yes Believe kumbe wapo wale wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah ...!!!
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yeah..!!!
Verse..2
Miaka 10 /
Tangu nipate u king/
Ni mingi pia sio mingi/
Kwa vile bado naandika mambo mengi/
Tu ya msingi/
Mtaani hawanipigi /
wanaamini/
Mimi ndio king/
Wa ma king/
Wananipa heshima nyingi/
Miaka mingi/
Ingawa sina shilingi/
Nyingi nyingi/
Japokuwa ni msanii wa long/
Najiuliza mara nyingi/
Wapi nilikuwa kingiki/
Nilipokosea timeming/
Sijui ni yule shangigi/
Mitungi au mibangi/
Sielewi nilipo bungi/
Ama kupenda mabungi/
Kwani ni nani hapendangi/
Labda kama afande bungi/
Kwani jongoo kwani hawikaki/
Mpaka majike hayatangi/
Hatuzungi hata kujingi/
Tutamchinja hatumfuki/
Na kumdosa kwenye ligi/
Ameshiriki miaka mingi /
Lakini kombe Hapataki/
Amani kwa soggy doggy/
Rafiki yangu wa long/
alo amini game alinongi/
Pasipo kumdisi king/
Kafanya ndio kata logi/
Wakati chuki hazichengi/
Kwa mfano 2 pac na biggie/
Wasinge ngombea u king/
Kama D.r.e na snoop doggy/
Uwenda leo tungekuwa nao/
Japo wangeshakuwa mading /
"sure"
Lakini bado wange blling/
Wange shine/
Ndani ya ring/
Na zaidi/
Wangeshuhudia kutimia kwa ndoto ya luther king/
Mweusi kuingia white house kama raisi"..
obama"
Yani mweusi kuitawala amerika...
Chorus...
Yes Believe kumbe wapo wale ..!!
wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah
Yes Believe kumbe wapo wale wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah ...!!!
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yeah..!!!
Auto
Yeh..!!
. Kadinali official official miaka 10
Ya king wa ryhems king Sele king of king
Ever and ever
Mfalume wanaume tukutane
Tena tushikamane tuishi Eneo letu
Studio record..
End...
takumbukwa kuwa, heshima hii ya Ufalme wa Rhymes alipatiwa Afande Sele miaka kadhaa iliyopita katika mashindano ambayo hayakuwahi kuendelea tena,.
hivyo aliamua kufanya tukio kubwa la kuadhimisha kudumu kwa taji hilo mikononi mwake pamoja na heshima hii bila kupata mrithi ama mpinzani kwa muda wote huu.
Maadhimisho hayo yalifanyika 15 ,mwezi wa sita (6) mwaka 2014 mji kasoro bahari morogoro..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Selemani Msindi
Afande Sele "The King"
Shomary Byellah
Intro ..
Yeah.!!
Oooh.!!
Miaka 10
Imefika
Ya mfalume mimi
Imepita
viumbe wanakuja
wanazaliwa
wanakufa
wanaondoka
shwaa!!
Dunia hudumu Daima weweee!!
Chuki ya nani?
usinitanie..
Wewe..
"Verse... 1.
Sasa ni miaka 10 /
Tangu niwe mfalume/
Lakini Bado ni mimi /
Ndio ninayeimarisha Ngome/
Simba Dume, /
Najiamini..!!
Na amini/
Kwenye fani na waumini/
Wanaoamini /
Kile ninachofanya mimi/
Hapa chini ni madini/
Hata kama hayachibwi chini/
yanachibwa kichwani /
Na mchibaji namba one/
Bwana msindi suleimani/
Fundi wa vina mizani /
Kutoka mji kasoro pwani/
Niliaza kitambo/
Kwa kuonyesha tofauti ya mwanajeshi na mgambo/
"sure"
Kwa kufanya mambo/
kutunga sana nyimbo/
Zenye ujumbe kwa mafumbo/
Na vijembe zikapendwa na warembo/
Na masela kila pembe/
Zikavuka mpaka ng'ambo/
Wakaniita nikaimbe /
Muziki wangu ukawa nembo/
Nyumbani ukaleta sembe /
Ukaleta Ugali , miwali , mikachumbali/
Na ukanipa mwana mwali/
Sajali na watoto wawili/
Nikaaza kuvaa viatu/
badala ya kandambili/
Kuwa na pear mbili tatu/
Ikawa tena sio habari/
Sio stori/
Kweli maisha ni safari /
Muziki ni kama bahari/
Mashairi yangu ndio meli /
Na mimi kama msafiri/
Tayari nimeshakiri /
Pamoja na ukweli /
Ya kwamba mimi ni mkali/
Wa kuandika haya mashairi/
Amini bado sijawahi kupata tuzo ya dili/
Lakini sio hatari /
Mwakani nita change style/
Nami nimwimbie Daring /
Ni mlilie sana sheri/
Au nisifie suruali /
ilimradi tu na mie nipate tuzo hata mbili/
Labda vingezo wa badili
Au vip kadinali/
Ooh mwanangu!..
Chorus...
Yes Believe kumbe wapo wale ..!!
wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah
Yes Believe kumbe wapo wale wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah ...!!!
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yeah..!!!
Verse..2
Miaka 10 /
Tangu nipate u king/
Ni mingi pia sio mingi/
Kwa vile bado naandika mambo mengi/
Tu ya msingi/
Mtaani hawanipigi /
wanaamini/
Mimi ndio king/
Wa ma king/
Wananipa heshima nyingi/
Miaka mingi/
Ingawa sina shilingi/
Nyingi nyingi/
Japokuwa ni msanii wa long/
Najiuliza mara nyingi/
Wapi nilikuwa kingiki/
Nilipokosea timeming/
Sijui ni yule shangigi/
Mitungi au mibangi/
Sielewi nilipo bungi/
Ama kupenda mabungi/
Kwani ni nani hapendangi/
Labda kama afande bungi/
Kwani jongoo kwani hawikaki/
Mpaka majike hayatangi/
Hatuzungi hata kujingi/
Tutamchinja hatumfuki/
Na kumdosa kwenye ligi/
Ameshiriki miaka mingi /
Lakini kombe Hapataki/
Amani kwa soggy doggy/
Rafiki yangu wa long/
alo amini game alinongi/
Pasipo kumdisi king/
Kafanya ndio kata logi/
Wakati chuki hazichengi/
Kwa mfano 2 pac na biggie/
Wasinge ngombea u king/
Kama D.r.e na snoop doggy/
Uwenda leo tungekuwa nao/
Japo wangeshakuwa mading /
"sure"
Lakini bado wange blling/
Wange shine/
Ndani ya ring/
Na zaidi/
Wangeshuhudia kutimia kwa ndoto ya luther king/
Mweusi kuingia white house kama raisi"..
obama"
Yani mweusi kuitawala amerika...
Chorus...
Yes Believe kumbe wapo wale ..!!
wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah
Yes Believe kumbe wapo wale wanaopenda mimi nipotee
Am still the king Bado nipo Eeeh!!
Yeah ...!!!
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yes Believe Bado nipo
Yes blieve Bado nipo
Yeah..!!!
Auto
Yeh..!!
. Kadinali official official miaka 10
Ya king wa ryhems king Sele king of king
Ever and ever
Mfalume wanaume tukutane
Tena tushikamane tuishi Eneo letu
Studio record..
End...
takumbukwa kuwa, heshima hii ya Ufalme wa Rhymes alipatiwa Afande Sele miaka kadhaa iliyopita katika mashindano ambayo hayakuwahi kuendelea tena,.
hivyo aliamua kufanya tukio kubwa la kuadhimisha kudumu kwa taji hilo mikononi mwake pamoja na heshima hii bila kupata mrithi ama mpinzani kwa muda wote huu.
Maadhimisho hayo yalifanyika 15 ,mwezi wa sita (6) mwaka 2014 mji kasoro bahari morogoro..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Selemani Msindi
Afande Sele "The King"
Shomary Byellah