Miaka kumi ya mahusiano hatimae ndoa

Miaka kumi ya mahusiano hatimae ndoa

watu wanaponds saana idue ya zari ninyi mna miaka 40 mmezubaa dai kawapiga bao looo mtasema sana
 
Ayoo ndo mapenzii sasa sio kukaa miezii sita unapigwa mimba. Inabidi uolewe fasta fasta matokeo yake ndoa inakushinda.

Uchumba max 2yrs, 10 years...hata mkijaanza harakati za uzazi mayai yeshajichokea, kwa mwanamke ndo usiseme. Ndo mnahama kila hospital kutafuta ushauri. Anyways all za best. I am just saying!
 
Miaka 10 unasubiri ndoa tu aiseeeeh kuna watu wana moyo.
 
Back
Top Bottom