Miaka kumi ijayo interview itakuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka kumi ijayo interview itakuaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by harakat, Oct 18, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Embu angalia hapo miaka mitani iliyopita ilkua ukiitwa kwenye intrview
  utakuta watu wenye mawe yaani degree ni wachache kuliko hivi sasa
  lakini sasa interview moja ya watu 12 mnakutana watu 2242
  sasa wazo langu ni kwamba mitaala ya vyuo vikuu ibadilishwe wafundishe somo la
  ujasilia malii zaidi na sio kuserve kweny maofisi
  alllllllaaaaaaaaaaaaaaaa ,eboooooooooooooooooooooooooooo lazima tuangalie mbali
  sasa tutaanza kuscramble for imployment soon halafu hatutatofautiana na wakulima na
  wafugaji kwenye vita yao ya kugombea mashamba huyu mmoja kwa malisho na
  mwingine kwa kilimo ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, zidum fikra za mwalimu kisidumu chama cha majambazi.....................
  [​IMG]
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Duuuu vijana tukalime sasa!
  Hata kama limagamba halitusaport!
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii ilikuwa wapi ? Yaani wengi wao kukosa kazi ni kawaida maana hata hawajavaa kama wanatafuta kazi.Unajua interview ya kazi ni pana kuliko kubeba ma vyeti na kukaa nayo mezani ?
   
 4. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kaka udom juzi 12/10/2011 usipime mkubwa ni aibu na hizi digrii zet yaani mi sijui itakuaje ?
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Skills za mavazi na presentetion hazimo ktk silabasi za Vyuo vya TZ.ukizingatia mwalimu anajitahidi kufelisha watu mitihani sasa utatarajia mwalimu afundhishe jinsi ya kupita ktk interview na kufanikiwa kupata Ajira?
  kwa sasa UDBS ya UDSM ndio wameanza Entrepreneurship center yenye kufundisha jinsi ya kufanya niliyoyataja hapo juu
   
 6. joseeY

  joseeY Senior Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siwalaumu wahitimu wa vyuo wanaotaabika mitaani, naamini si makosa yao, wanapenda kupata ajira lakini vikwazo vingi, inasemekana kwamba, hivi sasa ili upate kazi lazima utoe chochote, watatoa nini wakati ndo kwanza wanaomba kazi?
  Dunia ya leo ukitaka kupata ajira lazima uwe na ‘refa’ akubebe, hivi sasa kuna vigezo vimeongezeka katika mchakato wa kutathmini maombo ya kazi, ingawa waajiri hawavisemi wazi vipo, ukiacha hicho cha rushwa (za aina tofauti), kuna kingine cha kufahamiana, ndiyo maana ni jambo la kawaida kuulizwa, huko unapotuma maombi kuna mtu unamfahamu? Ndipo tulipofika, unatakiwa utafute hela ya kuwahonga unaowaomba kazi, kama huwezi kuhonga baki na vyeti vyako.
  Usisahau pia kwamba, unahitimu chuoni, unaomba ajira wakati muajiri anahitaji uwe na uzoefu wa miaka isiyopungua mitatu, kazi ni kwako!
  Vijana wenzangu wana uzoefu wa kutuma maombi ya kazi hawana uzoefu kuzifanya kazi wanazoomba, wana uzoefu wa kutoa nakala za vyeti vyao vya shule na vyuo waliposoma, hawana uzoefu wa kusoma tarakimu za kiwango cha mishahara wanachostahili kulipwa kila mwezi.
  Watanzania wanaambiwa wathubutu, wajiajiri, lakini hao wanayasema hayo wanafahamu kwamba, mfumo wa elimu nchini unawaandaa wahitimu waajiriwe na si kujiajiri, kwa sababu elimu ya biashara, mitaji, ujasirimali na ufundi havimo katika mitaala ya elimu ya msingi, ukitaka nenda VETA, siku njema.
   
Loading...