Miaka inayokuja mahouse girl watakuwa ndio wake wa kuoa

Hapana mkuu house girl akishampiku mtu,anasahihisha makosa yote na kamwe habweteki.

sikia mkuu.. ujue mke na housegirl hizi ni nafasi 2 tofauti. Na kila moja ina mipaka na majukumu yake.
My friend once a house girl is house wife she is no longer a housegirl upooooo.

Atatafuta msaidizi tuu ... otherwise kama wewe shida yako ni mfanyakazi na sio mke. Usichanganye mambo.
 
khaaaaaaaaaaaaaaa kwanza utoke na housegrl kwa ruhusa ya nani????????????????????????labda utoke nae kimagendo maza house asijue
Kha Nyie wanadamu Ivi mkoje? Yaani henglo hapaswi kufanyiwa jambo jema la kibinaadam? Tumtendee Kama paka wa kikaoni all time..! Mtu anayenilelea Watoto 24hours niache kumjali!? Lazima surprise, mitoko ya Kufa Mtu afanyiziwe Kama motisha anilelee Vema my family, isitoshe Na promo atapewa..
 
Ukitaka kujuwa kuhusu ma hausigeli au kingine chochote kitakachokuja hapa kwetu baada ya miaka 200 inabidi utazame nchi zilizoendelea leo hii zikoje / wakoje..

Tuko nyuma si chini ya miaka 200 na wenzetu walioendelea. Sisi ndio kwanza tunaanza.

halafu tunataka kushindana nao! Wazimu mtupu.

Kuna binadamu wengine wanadhani kutokufanya kazi ni moja ya starehe!
 
Ni ukweli ulionwazi tunaponzwa sana kuiga kila kitu tunachokiona kwa wazungu na ndiyo maana hata ukiwatazama watoto wa 90 s wengi wao walililewa na mahousegirl wakati mama zao wako busy kuzunguka mijini na wengine kuajiriwa kwenye kazi zinazokula muda kuliko za wanaume.

Ndiyo waliajiriwa kwenye kazi zinazokula muda mwingi kwavile waume zao walishindwa kutekeleza wajibu wao kama wanaume wa maisha bora kwa familia, ndipo wamama walipoamka na kuwapiga tafu thru ajira na business!
 
Kuna binadamu wengine wanadhani kutokufanya kazi ni moja ya starehe!

Hizo ni akili mgando tena za kiafrika! Ndiyo sababu nyerere aliwafukuza wazungu kwavile walitulazimisha tufanye kazi na pengine kutandika viboko wale wavivu, waafrika tukasema tunanyanyaswa, waondoke tukae vijiweni na kupiga story, nchi itajiendesha....... Tukowapi sasa? aibu tupu!
 
Alianza kuumbwa mwanamme ndo ubavu ukatolewa kidogo kwa akili ya mke!! kwa hiyo muumbaji hakukosea na wala hakuwa na makusudi mabaya bali kuwe na mkuu na mdogo ili mambo yaende!!!

Lakini msaidizi siyo mtumwa wa mwanamume. Kwa hiyo hata mwanamume anaweza kupika na kufua.
 
Kama mke hafanyi kazi sawa. What happens when mother house ameajiriwa? Yaani bado h/g hawezi kufanya kazi ya kunyoosha nguo? Kama hawezi itabidi mume asaidie. Jamani ule mtindo wa zamani wa baba kurudi na kusoma gazeti wakati mama naye alikuwa kazini umekwisha. Kama vipi wekeni house boys. If well trained they can be very good.

Kwa tabia zao hata houseboy ataliwa mtandao!!
 
unatafuta mke au mfanyakazi wako wa ndani? kama unataka mke wa kuwa anashinda home kukupa hizo huduma chukua housegirl wa mtu uoe ili upikiwe, ufuliwe, unyooshewe, akimaliza shughuli zake akae sofani akikusubiri urudi kazini akupokee gazeti, akuvue viatu na soksi, akupeleke bafuni kuoga (ikiwezekana akuogesha umekaa kwenye stuli), akuvalishe, akulishe, akushushie neti, akufunike shuka, ulale then asubuhi akuache kitandani anawahi kukuandalia maji ya kuoga na kukupikia chai sijui......
maana huyo mke hatakuwa na shughuli nyingine yoyote zaidi ya kukuhudumia wewe tu.

Thubutuuuu wanajiongelesha tuu! Kama hiyo ndiyo tafsiri ya ndoa wafanye ivyo! Kwanza kwa uchumi gani waliokuwa nao wa kufuga mtu ndani wa kukuogesha kukuvua viatu, na blah blah zote halafu umtunze, uitunze familia yake, akizaa nani atamvua viatu? Next to impossible!
 
sikia mkuu.. ujue mke na housegirl hizi ni nafasi 2 tofauti. Na kila moja ina mipaka na majukumu yake.
My friend once a house girl is house wife she is no longer a housegirl upooooo.

Atatafuta msaidizi tuu ... otherwise kama wewe shida yako ni mfanyakazi na sio mke. Usichanganye mambo.

Mkuu kwani mke maana yake nini?umeisoma mada vizuri lakini?
 
Lakini msaidizi siyo mtumwa wa mwanamume. Kwa hiyo hata mwanamume anaweza kupika na kufua.

Kwanza msaidizi wa nani? = mume
Anasaidia nini? = kazi
Za nani?= Mume
So mume ndiye the main doer, mke anasaidia kazi za mume!!
Sawa na fundi mwashi na kibarua! Fundi hakai pembeni anasoma gazeti kibarua ndiye ajenge!!!
 
Ndio shida yenu hii vichwa vimejaa ubishi hamuambiliki.

Khaaaa....... si lazima kila mnachosema ninyi kiwe sahihi! Msitufanye kuwa Miss Yes kwa kila idea mnayoitoa! Vya kujenga tunavi accept lakini vya kutupumbaza na kutuburuza havina nafasi!
Sorry my dear, kwa ukweli mchungu! Ni Dawa, the earlier you accept and take it the better! Haturudi 19 kweusi lolz!
 
Ok kama point unachukua na kuzifanyia kazi ni vizuri sana,ila badilikeni.
 
wakati sijaoa nilikua namuomba sana mungu anipe mwanamke kichwamaji ili nimnyooshe,lakini nadhani mungu ana makusudi yake,kanipa one of the best wives in the world,i proud myself to have her! Huu ujinga ujinga wa kidigitali hana kabisa,japokuwa ana shule ya maana tu kichwani mwake! Nadhani ni malezi tu,kuna wazazi wanajua sana kuwalea watoto wao hasa wa kike,dah!
 
Hizo ni akili mgando tena za kiafrika! Ndiyo sababu nyerere aliwafukuza wazungu kwavile walitulazimisha tufanye kazi na pengine kutandika viboko wale wavivu, waafrika tukasema tunanyanyaswa, waondoke tukae vijiweni na kupiga story, nchi itajiendesha....... Tukowapi sasa? aibu tupu!

Nadhani umekosea! Mzungu alimlazimisha muafrika amfanyie kazi na matunda ya kazi anufaike yeye mwenyewe mzungu, historia inatupa ukweli kabisa lengo la mzungu kulitawala bara la afrika lilikuwa ni unyonyaji na utapeli wa hali ya juu! America na Europe maendeleo yao yooote na utajiri theluthi tatu imetoka Afrika, na mpaka sasa ninapo andika uzi huu bado wanalitegemea bara la afrika kwa maendeleo ya dunia na uchumi pia. soma historia ya utumwa kuanzia bara la america/Ulaya na Asia na ujiulize kwanini ilikuwa afrika ni mlengwa mkuu na hadi sasa bado wanatuwinda sana? jiulize kwanini wazungu walio wengi wana wachukia watu wenye asili ya africa ingali wakijua wewe muafrika una dhahabu,Tanzanite,Oil,Gas,Ardhi yenye rutuba,hali ya hewa iliyogawanyika katika makundi ya kumfanya mwanadamu ajihisi yuko paradise, mengine siyataji najua unayafahamu, swali ni kwanini wasitufanye marafiki wanaishia kutuchukia? mtu mwenye nacho hupendwa kwasisi waafrika tunachukiwa kwanini? hii ni wazi kuwa wivu unawasumbua wazungu. na duniani inatambulika wazi kisayansi muafrika ni mzaliwa wa vipaji hata bila kufundishwa na akiona atatenda zaidi kuliko aliye anzisha! Sayansi wanayojivunia wzungu waliziiba afrika na ili kujibinafsisha sayansi zetu wakawauwa wanasayansi wa kiafrika na kubakia na elimu ya sayansi iliyoanzishwa na muafrika, misri walihakikisha wanafukua makaburi ya wafalume kutafuta nyaraka za sayansi na ndivyo walivyofanya. muingiliano wa afrika na Israel kupitia Egypt ulileta changamoto kubwa sana ya kisayansi afrika. Wazungu walifanikiwa kutuweka chini ya himaya zao pale walipo baini kuwa muafrika ni mkarimu sana, atakukaribisha, atakupa chakula na maji ya kuoga na atakupa malazi bure, hivyo ukimuuliza jambo atakujuisha kama rafiki na mgeni na hapo tuwageuke tukisha jua vya muafrika na ndivyo wanavyoendelea mpaka leo na mbinu hiyo hiyo ya MISAADA AFRIKA. Siku afrika ikijiweza ikagoma kusuply materials na vyakula nakuhakikishia ulaya haitopumua na itaaibika mno. cha msingi hapa waafrika wawe makini sana wanamuweka nani madarakani maana wengi wa viongozi wa kiafrika ni vibaraka wa wazungu ili wale kilaini. hili suala la HIV wamarekani wengi wanalitambua kuwa ni mpango wa kimaabara ulioanzishwa huko kupambana na waafrika waliokuwa wanaibukia matajiri na wenye nguvu baada ya kukomeshwa biashara ya utumwa.

Nadhani mada ya awali ilihusu wanawake wavivu katika majukumu yao kimaumbile.na niwazi hakuna mwana mke anayependa mume asiyejituma kwenye majukumu yake kama baba na vile vile mwanamume hapendi mwanamke mvivu kuanzia jikoni mpaka kwenye kila kitu!!
 
Umempa jibu zuri kabisa.
 
Kama nilivyo elezea kwenye kichwa cha habari hapo juu,
siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi (mahouse girl) ili kusaidia kazi za nyumbani.
Ndio hatukatai pengine mama mwenye nyumba anaweza kuwa anazidiwa na kazi,
Kama kufua nguo za mzee,watoto,kunyoosha, kuandaa chakula nk.
Lakini kuna wadada/wanawake wengine unakuta watu wako wawili yeye na mumewe,
eti nao wanaweka house girl sijui wa nini?eeh!!!
tena wengine sijui ni sifa eti anaajiri wawili kabisa kwa kazi zipi sasa?na wewe ufanye kazi gani?
Ya kupaka rangi kucha na kuchat kwenye mitandao? halafu bila aibu unasifia chakula alichoandaa house girl mbele ya mumeo.

Na unaangalia tu house girl anamnawisha mikono mumeo na kumkausha na taulo,wewe upo tu kwenye kiti kama umegundishwa na super glue vile.
huyo jamaa yako akila chakula kitamu cha house girl, si atataka ale na kile cha usiku aone utam wake?
hapo ndipo timing zinapoanzia na ukizingatia mahouse girl walivyo na heshima,
baba akifika na kamzigo anapokelewa kwa mikono miwili na anapigiwa goti,
wakati huo we upo upo tu kama koti la mvua linasubiri masika.
Sijui ndio kusema hamuelewi mko pale kwa ajiri gani?na house girl akiboronga kidogo tu macho na sauti ya ukali inakutoka kama nini,
Hujui kwamba unapofanya hivyo unamkomaza house girl,hapo kwako ni sawa na chuoni kwake anachukua mafunzo ya maisha.
Mumeo akisifiwa kazini nguo zake zinang'aa atamkumbuka house girl,
akisifiwa kwamba ananawili atamkumbuka house girl,
akisifiwa kwamba viatu vyake vinang'aa atamkumbuka house girl,
Ndio si house girl ndio anaye fanikisha yote hayo?wakati wewe uko bizy ku up load picha fb?
mwisho wa siku unatemwa kama big G iliyo chacha,
halafu watu wanabaki kushangaa mbona jamaa kamuacha mwanamke mzuri vile halafu kabeba house girl?
kumbe ni janga la kitaifa hajui A wala B kifupi hajitambui,
Badilikeni nyie kina Eva ma house girl watawapiga bao ohooo!!!!!!

Unkota kwa bhalindwana sijui kama watakunwa?
 
Kama kumpa fundi penzi ni wewe mwenyewe. Aijalishi kama atakuongelesha kwa tabasamu au la. Eshimu ndoa yako.
 
Back
Top Bottom