miaka inakwenda!!

Mwaka 1995 nilininua simu hii na bado ninadunda nayo:

motorola-i415.jpg
 
Jf imenikutanisha na LULU (kwa maana ya Kito )
Ninaamini KITO husika kikivinjari kunako uzi huu kitajielewa ! Congra KITO !
 
hahaha enzi hizo hakuna hata mambo ya bluetooth... Internet yenyewe shughuli.
Umenikumbusha mbali. Mwaka huo ndio mara ya kwanza kusikia hilo neno internet. Nakumbuka nilihudhuria mkutano kwenda kujua tu "internet" ni "nyavu za wapi ndani".
 
Back
Top Bottom