Miaka hiyoooo....Spika akiwa poa!

Miaka hiyoooo....Spika akiwa poa!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,898
Reaction score
15,126
spika akiwa mzuri.jpg

Tumetoka mbali!
Leo Lissu amkumbatie Dr Tulia?
 
Huyu si sita? Sijui na huyo ni mdee
 
Mzee kashika kiutamu! dogo disaini flani kama anaskilizia
 
Enzi hizi Mbowe ana winda saini ya Samwel awe Mgombea Urais na Lowassa ndo anatangazwa Fisadi Papa!
Akiba ya Maneno ina umuhimu wake sana!
 
Thubuutu atakula kofi hilo mpaka vifungu visambae.
 
Back
Top Bottom