Miaka 7 bila ndoa

Sina kazi maalum yani mpiga dili tu Leo napiga dili hili kesho lile so haifiki hiyo 600k kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana bro hakika una mitihani nauona ugumu wa maisha unaoupitia,watoto wawili kipato kwa mwezi 600K hakifiki aisee si balaa hilo!

Mungu akusaidie kaka.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nimejaribu kuvaa viatu vyako hapa mkuu, pole sana. Moja kati ya matatizo mengi tuliyonayo vijana wa leo kama hilo lako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika ni mtihani,kijana ana elimu yake kichwani kwa mwezi ku-save hata 100K inamuwia vigumu.

Hii issue inaumiza sana,yani sana sana!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nyinyi ni dini gani? Kama ni wa Wakatoliki nendeni kwa padri muandikishe ndoa. Mnafunga ya kati kati ya wiki baada ya misa ya kwanza. Nyinyi na mashahidi wenu tu lakini mtaishi kwa haki mbele ya macho ya Mungu.
Amen!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Tatizo hapo ni dini zenu tofauti sio pesa km mngekuwa wote waislam kazi ingekuwa rahisi tu unaenda kwa mzazi wa mwanamke na shehe wako mnafunga ndoa hata nusu saa nyingi

Hayo mambo ya barua sijui uchumba mira tu hizo ktk dini hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu Jana jioni hapokei simu hajibu meseji - JamiiForums

Kwa hiki ulichokiandika katika Uzi huu endelea tu kutopata pesa huna maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la mitandao ni hili na huwa nasisitiza kila siku kwamba mtu kuwa kwako nyuma ya keyboard kusikufanye uandike vitu visivyokuwa na maadili hata kama unatunga.

Kama hivi sasa ana tatizo kubwa {japo sina hakika kama nalo hajatunga} then anaomba ushauri kutoka kwa watu waliostaaribika.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Anatuchosha tu .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii inshu serious let's keep jokes aside,miaka 7 sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Dingi Hii Post ya Mwanamke wako ushaleta Zaidi ya Mara Mia moja humu, Hujapataga Suluhisho tu? Huna maamuzi Binafsi kama Mwanaume?
 
Pambana utafute hela ya mahali, ukitumia pesa yake ktk kulipia hili haipendezi hata kidogo.
 
mkuu mwanamke hatakiwi toa posa wala mahali heshima iko wapi hapo kwa mwanaume?akishushuliwa huko mbele atamlaumu nani?mwanaume kufanya hyo incarnate ownership n authority..binafsi kama mwanamke ntamsaidia mwanaume mengine lakini posa n.a. mahali sithubutu bora ijulikane tu nimechukuliwa kwa mkopo basi..sharp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU,

BAADA YA KUMTUMIA HUU UZI BABA MKWE WAKO AMESEMAJE LABDA ?

TUANZIE HAPO.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Nyinyi ni dini gani? Kama ni wa Wakatoliki nendeni kwa padri muandikishe ndoa. Mnafunga ya kati kati ya wiki baada ya misa ya kwanza. Nyinyi na mashahidi wenu tu lakini mtaishi kwa haki mbele ya macho ya Mungu.

Hii ikoje Sky Eclat, maana nina changamoto hii inaweza kuwa suluhisho.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…