si kweli mkuu kuna utofauti mkubwa tena sana. ni simu nzuri kwa kuchat kupiga simu na mambo madogo madogo ila ukipewa task yoyote kubwa inadata haitafanya chochote.
-Hio simu ipo enzi za 32bit sasa hivi android ni 64bit
-inamiss hardware za kisasa vitu kama ram zenye speed zaidi, bluetooth mpya, processor yenye nguvu zaidi, gpu y3nye nguvu zaidi, vioo vyenye resolution kubwa etc