Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
kwa mpya mkuu utakuwa limited sana. kama upo comfortable na kuagizishia online redmi 5A ni simu nzuri kwa hio budget,isiyozidi 200,000/= cuz vyuma vimekaza mno mkuu..
kwa mpya mkuu utakuwa limited sana. kama upo comfortable na kuagizishia online redmi 5A ni simu nzuri kwa hio budget,
kwa hapa bongo mpya sijui hata simu ya kukushauri nyingi sio nzuri.
kama unatake risk na kununua used unaweza pata simu kama p8 lite, galaxy j5 ni simu nzuri.
gsmarena unazipata specsChief-Mkwawa ,
Mkuu,
Hiyo bei ya 200,000/=
Specifications zake (Redmi 5A) ni zipi maana zipo simu hizo matoleo mengi.
Kama utaweka specification itakuwa rahisi kwa mteja au mhitaji kutoa order yake.
gsmarena unazipata specs
Xiaomi Redmi 5A - Full phone specifications
kwa ufupi
-camera 13mp
-battery 3000mah
-soc Qualcomm MSM8917 Snapdragon 425 yenye cpu ya Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53 na gpu ya Adreno 308
-ram ya 2gb au 3gb
-internal 32gb au 16gb.
Akikujibu nitagChief-Mkwawa ,
Mkuu,
Safi sana. Hapo wateja watakuja.
Ongezea ufafanuzi hapa..
32gb au 16gb bei ni iyo hiyo 200,000/=?
Mteja ataipata baada ya siku ngapi!?
Delivery yako ikoje ni home au Anakuja kuchukua ulipo !?
Je , uko Tanzania mf. Dar, Arusha, Mwanza, Kigoma!?
Malipo una pokea hela baada ya mzigo kufika na kumpelekea mteja au mteja anakupa hela yote kisha unamletea mzigo!?
Ukijibu hayo maswali nakutumia wateja ..
Kupokea updates ni muhimu sana kipindi hiki, kumekua na mianya mingi kwenye platform mbalimbali za vifaa vya electronics, mianya hii imekua ikitumika na wahalifu/wadukuziau mashirika kuingia kwenye simu za watu na kujichotea details binafsi kibao, zikiwemo credit card numbers, passwords na ata location yako.Kwann Simu Unahitaji Kuupdate Hebu Nipe Faida Zake ?
Xiaomi Mi A1(Global Version) au maarufu kama Xiaomi mi5X(Chinese Version)Chief-Mkwawa kwa bajeti ya 550k ninue simu gani inayoendana na wakati
Chief-Mkwawa ,
Mkuu,
Safi sana. Hapo wateja watakuja.
Ongezea ufafanuzi hapa..
32gb au 16gb bei ni iyo hiyo 200,000/=?
Mteja ataipata baada ya siku ngapi!?
Delivery yako ikoje ni home au Anakuja kuchukua ulipo !?
Je , uko Tanzania mf. Dar, Arusha, Mwanza, Kigoma!?
Malipo una pokea hela baada ya mzigo kufika na kumpelekea mteja au mteja anakupa hela yote kisha unamletea mzigo!?
Ukijibu hayo maswali nakutumia wateja ..
kama alivyokujibu jamaa hapo juu siuzi simu mimi, ni ushauri tu. na bei yake huko nje ni kama 175,000 hivi kwa India. then tafuta mtu wa kukuagizishia alilete huku.Chief-Mkwawa ,
Mkuu,
Safi sana. Hapo wateja watakuja.
Ongezea ufafanuzi hapa..
32gb au 16gb bei ni iyo hiyo 200,000/=?
Mteja ataipata baada ya siku ngapi!?
Delivery yako ikoje ni home au Anakuja kuchukua ulipo !?
Je , uko Tanzania mf. Dar, Arusha, Mwanza, Kigoma!?
Malipo una pokea hela baada ya mzigo kufika na kumpelekea mteja au mteja anakupa hela yote kisha unamletea mzigo!?
Ukijibu hayo maswali nakutumia wateja ..
Mkuu utapataje very latest updates while hardware ni zile zile.Ww ndo mjanja wa mjini, kusema kweli hata mm sioni tofauti kati ya simu za android, kinachonifanya kubadili simu ni kukosa updates tu wala c kingine, lakini kama ningeweza kupata updates wala nisingebadili
Mkuu kioo cha s3 andaa 80k kioo cha iphone 6 jiandae 180k hadi 200kNina Vimeo viwili
1 S3 imekufa camera na kioo
iPhone 6 imekufa kioo
Sijawahi ona sababu ya kubadili simu
Mkuu kwa kuongezea tuu ni kwamba tutakuwa kama tunapiga windows hivi kwenye PCnimeona kwenye thread ile nyengine ulivyomjibu jamaa, ni kweli manufacture wengi wamafanya hivyo ili ununue simu mpya. wengi wanatoa updates za miaka 2 tu, wachache wanazidi hapo na wengine hawatoi kabisa.
ila sasa hivi kuanzia android 8 simu yoyote itakayotengenezwa ya oreo lazima ije na kitu kinaitwa project treble, ambapo wanatenganisha operating system na vitu vya hardware kama drivers. simu itakuwa na partition mbili moja os na moja driver na mawasiliano mengine ya hardware. hivyo itakuwa ni rahisi ku update simu kuanzia android 8 pengine simu zijazo zikawa zina maisha marefu zaidi.
kwa kuchat kupiga simu na mambo madogo madogo ila ukipewa task yoyote kubwa inadata haitafanya chochote.
SiuziMkuu kioo cha s3 andaa 80k kioo cha iphone 6 jiandae 180k hadi 200k
Kama vp niuzie
Mkuu, raia wanataka Cim zao ziwe PC. Wanataka wa install hadi Auto CAD waanze kufanya architecture.ukipewa task kubwa itashindwa, ukipewa task gani kwa mfano, kuchora ramani ya nyumba?
na hiyo task kubwa utapewa na nani, mwalimu?
hahahahahaaaa....