Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Wazee wa mujini mdogo wangu utaliwa na umalkia usiupate utaishia kuambulia jasho la babuuuuuu.ukipewa sana laki laki mbili hakuna jipya.Achana nae chapa lapa jilindeeeeeHuyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
Mpe mzee agonge , halafu wazee wanapiga kimoja tu kwishney ..........................!:becky:
Ila kama anatumia viagra jitayarishe kufiwa na kazee kakiwa juu yako....!:confused2:
Shosti mtawa mwenzangu nimwagie maujuzi jinsi ya kukichuna hiki kibabu bila kukionjesha. Ukishindwa nimuone Lara 1, nadhani yeye ana maujuzi tele katika mizania ya uchunaji wa vibabu.Hiyo mbona easy tu, waweza kukichuna hadi bila kugegedwa...akil kumkichwa
Binti.com, nilikuwa nakuweka katika mahesabu ya wale wanaoweza kuwa wachumba wema wa Power G, lakini kuanzia leo nimekufuta kabisaa. Kumbe wewe nia yako ni umalkia tu na siyo mapenzi!! Bye byeShosti mtawa mwenzangu nimwagie maujuzi jinsi ya kukichuna hiki kibabu bila kukionjesha. Ukishindwa nimuone Lara 1, nadhani yeye ana maujuzi tele katika mizania ya uchunaji wa vibabu.
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
Naogopa murder case mkuu
Shosti mtawa mwenzangu nimwagie maujuzi jinsi ya kukichuna hiki kibabu bila kukionjesha. Ukishindwa nimuone Lara 1, nadhani yeye ana maujuzi tele katika mizania ya uchunaji wa vibabu.
muongo huyo,atakufanyaje uonekane malkia wakati yeye si mfalme katka ulimwengu huu!!!!potezea vijana wapo bwana,au unataka akufie kifuani shauri yako!!mada kesi hiyooooo!!Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
tafuta namna ya kula bilakuliwa!!!Ila vijisenti kanavyo hasa!