Miaka 54 ya CCM inatosha!

Most Tanzanians don't know any better.

CCM will rule forever because most Tanzanians are averse to political change.

Heck, they never even wanted multiparty politics anyway until it was shoved down their throats.

None of us will ever see CCM booted out of office in our lifetime.

Never.
 
Kidumu chama cha mapinduzi!!!!
 
Nyani Ngabu
Nakuombea uhai, amini kuwa CCM itatoka madarakani... tunae mkombozi tayari
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu
Nakuombea uhai, amini kuwa CCM itatoka madarakani... tunae mkombozi tayari

Niombee tu kwa kweli ili niishi muda mrefu sana kushuhudia hayo maajabu.

Maana kwa idadi ya watu wajinga na malofa tulionao sidhani kabisa kama wataiondoa CCM madarakani.

Sidhani kabisa.

Sidhani.
 

Chonde kaka mkubwa, huo wingi uliotumia! Kwanini tumekata tamaa kwa kiwango hiki?
 

You sound truth broh. Majority we are not aware!. Still people are reluctant..static..averse.. their mind doesn't want to risk extra-parts. CCM will rule over century.
 
Chonde kaka mkubwa, huo wingi uliotumia! Kwanini tumekata tamaa kwa kiwango hiki?

Kwa akili walizonazo Watanzania wengi kwa nini mtu usikate tamaa?

Hivi unadhani hali za kimaisha walizonazo Watanzania wengi ni bahati mbaya tu?

Natamani sana JF iendelee kuwepo miaka 200 baadaye ili kizazi kijacho kiweze kuona haya niliyoyaandika hapa.

Katu CCM haitotoka madarakani. Katu!
 




Nyani Ngabu I bet you're wrong. Tanzanians have learned their lessons form the past CCM governments. October 25, 2015 Tanzanians will decide to remove CCM out of Ikulu!
 
Nyani Ngabu I bet you're wrong. Tanzanians have learned their lessons form the past CCM governments. October 25, 2015 Tanzanians will decide to remove CCM out of Ikulu!

I sure hope I'm wrong and that would be among a handful of times where I'll be happy to have been wrong.

But let's talk after the 25th....
 
It is possible that some of us may have read it,but the lesson from this story with reference to what going on is worth re-reading again and again...labbda tunaweza kujitambua!
 
CCM haiwezi kutoka Madaraka kwa sababu ya Wengi wa Wa-Tanzaniani wana upungufu wa

kufikiria mbele Maisha yao na kuona kitu gani wanachokitaka? wanadanganywa na maneno matamu ya Wana Siasa pamoja na Ahadi hewa

Wa-Tanzania wengi wao wana upungufu wa kufikiri kitu. CCM itawaongoza na kuwapeleka mpaka shimoni aliye Waroga Wadanganyika

amekwisha kufa Zamani sio Rahisi kupona.
 
Ccm hawawezi ondoka madarakani kwa akili nazo zishuhudia mtaani.
 
Ndugu Mtanzania tafadhali chonde chonde usichezee kura yako. Vote kwa usahihi. Chagua Chadema, Chagua Ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…