Airfryer
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 430
- 1,048
mmmhMwaka 2016 Zito alisema Magu adhibitiwe nilikuaga sijamwelewa kutokana na dhana ya upya wa serikali nadhani mpaka sasa hivi kama wapo ambao hawajaelewa alichosema Zito mpaka dakika WAPAMBANE NA HALI ZAO.tena wamenyeke hasa in (Magu`s voice) mpaka akili ziwakae sawa.