Miaka 30 bila mpenzi !!

Miaka 30 bila mpenzi !!

hivi unakosaje mchumba?? wamejaa love conect kibao?? :confused3:
 
Last edited by a moderator:
::
Elimu yangu chini
Wengine pesa mbele
Wengine tofaut dini
Jestina unasemaje
=

Punguza vigezo ulivyojiwekea maana kwa uzoefu huwa havitimii kwa yeyote yule utakayekutana naye.

Ukimpata walau anayefikisha 40% inatosha, 60% zitapatikana mkiwa pamoja na hasa ndani ya ndoa. Kumbuka mama/baba zetu na bibi/babu zetu walioana kwa nyakati zoa kwa mapenzi na maamuzi ya wazazi wao lakini mapenzi ndani ya ndoa zao yalishamili na kuzitunza na hadi leo tunazitolea mifano, kumbe basi sisi wa sasa tunayo nafasi pana zaidi maana tunao uhuru wa kuamua nani awe na mimi lakini tunazitumia vibaya na mwisho wa siku mapenzi na ndoa zinatushinda, tumuombe Mungu atunusuru na aibu hii inayotukumba.

Nimependa mashairi yenu, ila daima mshirikishe Mungu kwa yote yaliyo magumu kwako maana yeye ni muweza wa yote.
 
Nyie imbeni mashairi tuu wenzenu wanagegedana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom