Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Yaani kwa hilo tu ndio unasema anakupenda?kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.
ni bora amwache huyu amfai atafanyia utani hisia za binti wa watu mapaka kifo... kumbuka tunaishimara moja tu hakuna maisha mengine kama haya ya sasa...
Ungekuwa wew kwa miaka mitatu yote ungemuelewa?mwambie tu ukweli jamani. dah!! inaumiza sana.
Kwanini uliruhusu miaka yote hiyo kupita wakati unajua fika hayuko moyoni mwako? hivi ungekuwa unafanyiwa wewe hivyo ungefanyaje au ungejisikiaje? three years mnaitana baby mtoto wa watu ameweka matumaini kwako kuwa wew ndo mumewe halafu wew kirahisi rahisi unasema hayuko moyoni ndo nyie mnaosababisha wanawake wasipendeke muda wote wanawafikiria nyie mahusiano mengine yanavunjika kwa ajiri ya watu kama wewe,ushauri wangu najua hata wewe kua element za mapenzi juu yake ila inaonyesha umemchoka tu sasa unataka kubadilisha usimuache huyo mwanamke....overSalaaaaaaaaaaam!
Polen kwa majukumu wana MMU,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.Nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne,
kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.
Kiukweli kwa upande wangu huyu dada hayupo moyon mwangu kabisa niwe mkwel na ilitokea nikawa nae kupitia rafk yangu ambae tulikua tnatania,mi nkasema nampenda yule mtoto 'kiutani'lakini yeye akafikisha ujumbe na mtoto wa watu kaniganda hadi leo.
Naumia sana anaponipigia cmu na kuongea,kiukwel sijawah mwonesha dharau yoyote ila hayupo moyon mwangu,wana MMU najua hapa ni mahali penye ushauri mzuri naombeni mnishauri nifanyeje?
Nakiri nilikosea tangu mwanzo kuwa nae,sasa nifaneje?
Salaaaaaaaaaaam!

Tatizo lako itakuwa hana mvuto sio?Rocky,kiukwel nimejitaid sana yaani nimpende ila nimeshndwa,yaani namchukulia kawaida tu,ila n mwanamke wa kawaida lakin Mungu amempendlea ving sana niwe muwazi,ana tabia nzuri sana sijawah kuona,anaheshma na anapga kazi,ila moyo wangu sijui ukoje tu,NAJUA ni wife material hata marafk zangu huwa wananiambia-tatizo n mimi sasa bro