mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,091
- 1,783
Ni yeye alielezea kwenye thread moja ya changamoto walizopitia watu sikumbuki heading yake inasemaje la naikumbuka hii habariHuyu nahisi kakopi mahali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yeye alielezea kwenye thread moja ya changamoto walizopitia watu sikumbuki heading yake inasemaje la naikumbuka hii habariHuyu nahisi kakopi mahali...
Hahahaa sipati picha siku nikifanikiwa kumuona hyo bidada..id yake hua inanifurugia mipangoUngekulia alikokilia
miss chagga
Ungekuwa wee ndo dangote
Any way hongera mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijacopy..tatizo wengi hamkupata changamoto ya maisha.. siwez kukulaumu..endelea kuisi kila kitu ni copyHuyu nahisi kakopi mahali...
Ha ha haaaaaaa, inawezekana eeenh?Huyu nahisi kakopi mahali...
Kamanda wewe hujaikosa elimu,uliipata na uliitumia kuleta mabadiliko chanya aliyokuwa ameyakusudia babu yako. Hivyo ndo elimu inapaswa kutukumboa na zipo aina mbili kuna elimu ya mfumo rasmi ile ya kukaa darasani na elimu nje ya mfumo rasmi ile tuipatayo ije ya darasa. Maisha tu yenyewe ni elimu taka usitake kila hatua kunashule tunapitia. NAMALIZIA HIVI HUKUKOSA ELIMU ILA ULIIPATA NA NDO IMEKUFIKISHA HAPO BAADA YA WEWE KUIPOKEA NA KUITUMIANi kweli humu nimeingia na elimu ya msingi..sikufanikiwa kuendelea na shule japo nilijiendeleza kupitia mitandao ya kijamii na kwa marafiki pia nilitumia dictionary kuijua lugha ya wazungu kidogo
Niseme tu sijutii kuikosa elimu!
young kilimanjaro