Wengi wetu hapa tanzania tumeanza tumia internet mwaka 2000, yahoo, hotmail na worldsex.com ndio zilikuwa zenyewe wakati huo! By that time matumizi makubwa yalikuwa mawasiliano. Ikumbukwe hi5 ya wakati huo ndio facebook ya leo. Hata ikafika 2004 kuelekea 2005, hapa ndipo celtel ya wakati huo ikatuletea wap, Kama kawa mawasiliano yakaboreshwa, tukapata mig33, waptrick bila kuisahau phonerotica.com! Subiri subiri google ikashika hatamu yake, hapa ndipo tukaanza jifunza mengi na matumizi ya internet yakapanuka zaidi! Mabadiliko ya teknolojia yakapelekea tukaweza nunua hata bidhaa online na ikafika kwa usumbufu wa posta na kodi tra! Tunapoelekea internet ndiyo itayochangia kuitoa serikali ya ccm madarakani!