Erickford4
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,131
- 1,099
Hapo walitengeneza mazingira ya kumpoteza jamaa kwa sababu ya kesi mbili.. Ya kwanza kutembea na mwanafunzi na ya pili mtoto wa chini ya 18 na hayo huenda ni maamuzi ya wazazi wa huyo binti baada ya kukerwa na hilo tukio bila ya kufikiria namna ya kuiframe hiyo kesi.