ndugu yangu wewe unaishi nchi ipi? wananchi wapi walipata ahueni awamu 3? Labda wafanyakazi kidogo kwani awamu ya 2 haikuwajali. lakini wananchi wakawaida tulikuwa na shida kupita kiasi mkuu. Nashauri uandike ukweli. weka ushabiki pembeni hautatusaidia.tanzania bila baba wa taifa miaka 12 inaonyesha kuyumba angalau awam ya 3 kidgo wananchi maskin walipata ahuen ya maisha, lkni awam hii ya 4 maisha yamekuwa magumu kupta maelezo,na cjui nchi inakwenda wapi,
on behalf of poor tanzanians real we do remember mzee nyerere
Asha Salum Kilungi (70) visibly moved at Mwalimu JK Nyerere commemorative symposium held at University of Dar es Salaam yesterday. She was overcome with emotion as she expressed her belated appreciation for the Father of the Nation`s intervention that she said helped her get back her plot earlier seized by a conman
Nimeipenda Avatar yako inaonyesha namna ulivyo mzalendo wa ukweliViongozi wetu ni wanafiki wanaimba kumuenzi na kusikiliza hotuba zake na kum nukuu sana maneno yake lakini wanamkejeli kwani nyuma ya pazia wanagonga glass za mvinyo kwa kuyakiuka yale ya Mwl