Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 9, 2018 #1 Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....
Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....
Killmonger JF-Expert Member Joined Jan 11, 2015 Posts 2,027 Reaction score 2,250 Oct 9, 2018 #2 Duuu! Hongera mkongwe!
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,932 Oct 9, 2018 #3 Hongera sana mkuu. Ila miaka 10 katika mijadala lakini bado unaandika mijadara aisee. Subiri ban sasa.
Hongera sana mkuu. Ila miaka 10 katika mijadala lakini bado unaandika mijadara aisee. Subiri ban sasa.
Liparamba JF-Expert Member Joined Jun 12, 2016 Posts 690 Reaction score 592 Oct 9, 2018 #4 Hongera Sana !!
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,135 Oct 9, 2018 #5 miaka 10 mkuu lakini una mabandiko 900 !!!!! hustahili pongezi zaidi ya ban ya daima
Nebuchadinezzer JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,403 Reaction score 2,549 Oct 9, 2018 #6 Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. .......Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Hongera mkuu... Asante kwa kutukaribisha. ASANTE
Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. .......Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Hongera mkuu... Asante kwa kutukaribisha. ASANTE
Ben Mugashe JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 999 Reaction score 618 Oct 9, 2018 Thread starter #7 Pendael24 said: miaka 10 mkuu lakini una mabandiko 900 !!!!! hustahili pongezi zaidi ya ban ya daima Click to expand... Labda hiyo ndo siri ya kudumu hapa
Pendael24 said: miaka 10 mkuu lakini una mabandiko 900 !!!!! hustahili pongezi zaidi ya ban ya daima Click to expand... Labda hiyo ndo siri ya kudumu hapa
Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,019 Oct 9, 2018 #8 Ongera sana sana mkuu
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Oct 9, 2018 #9 Hongera sana
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,522 Reaction score 14,190 Oct 9, 2018 #10 Miaka 10 post 900 likes 59.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,455 Oct 9, 2018 #11 Duuh! Hongera zako Mkuu. Namie natamani Account yangu ije ifikishe hizo miaka japo bado sana aiseee.
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,925 Oct 9, 2018 #12 Hajar said: Duuh! Hongera zako Mkuu. Namie natamani ID yangu ije ifikishe hizo miaka japo bado sana aiseee. Click to expand... Mtani unamiaka mingap
Hajar said: Duuh! Hongera zako Mkuu. Namie natamani ID yangu ije ifikishe hizo miaka japo bado sana aiseee. Click to expand... Mtani unamiaka mingap
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,455 Oct 9, 2018 #13 madindigwa said: Mtani unamiaka mingap Click to expand... Minne na nusu Mtani.
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,925 Oct 9, 2018 #14 Hajar said: Minne na nusu Mtani. Click to expand... Hongera na Mimi kama sio bun na kubadili ma Id ningefika
Hajar said: Minne na nusu Mtani. Click to expand... Hongera na Mimi kama sio bun na kubadili ma Id ningefika
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,891 Reaction score 103,941 Oct 9, 2018 #15 wanunulie soda mods
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,455 Oct 9, 2018 #16 madindigwa said: Hongera na Mimi kama sio bun na kubadili ma Id ningefika Click to expand... Hahaaa. Yabidi uibembeleze hii ya sasa Mtani ili nayo ifikie hatua ya kuzeeka.
madindigwa said: Hongera na Mimi kama sio bun na kubadili ma Id ningefika Click to expand... Hahaaa. Yabidi uibembeleze hii ya sasa Mtani ili nayo ifikie hatua ya kuzeeka.
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,925 Oct 9, 2018 #17 Hajar said: Hahaaa. Yabidi uibembeleze hii ya sasa Mtani ili nayo ifikie hatua ya kuzeeka. Click to expand... Yan acha mpaka hua naogopa kuanzisha uzi achana na zinazo futwa kama nimebaki mchangiaji tu jf mtani
Hajar said: Hahaaa. Yabidi uibembeleze hii ya sasa Mtani ili nayo ifikie hatua ya kuzeeka. Click to expand... Yan acha mpaka hua naogopa kuanzisha uzi achana na zinazo futwa kama nimebaki mchangiaji tu jf mtani
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,095 Reaction score 122,455 Oct 9, 2018 #18 madindigwa said: Yan acha mpaka hua naogopa kuanzisha uzi achana na zinazo futwa kama nimebaki mchangiaji tu jf mtani Click to expand... Hahahaaaa. Lol. Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na account moja mtani.
madindigwa said: Yan acha mpaka hua naogopa kuanzisha uzi achana na zinazo futwa kama nimebaki mchangiaji tu jf mtani Click to expand... Hahahaaaa. Lol. Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na account moja mtani.
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,925 Oct 9, 2018 #19 Hajar said: Hahahaaaa. Lol. Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na id moja banaa. Click to expand... Asante mtani id ninayo hii moja tu
Hajar said: Hahahaaaa. Lol. Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na id moja banaa. Click to expand... Asante mtani id ninayo hii moja tu
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,271 Reaction score 96,398 Oct 9, 2018 #20 Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Miaka 10 si haba. Ngoja nami nipambane. Kwa namna navyokujua kila mwaka umekamata wachuchu 6. Hii ina maana nina mashemeji 60 hapa JF. Shumalam waitu!
Ben Mugashe said: Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila kupigwa BAN..... Click to expand... Miaka 10 si haba. Ngoja nami nipambane. Kwa namna navyokujua kila mwaka umekamata wachuchu 6. Hii ina maana nina mashemeji 60 hapa JF. Shumalam waitu!