• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Miaka 10 ijayo:China itatawala Dunia

rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
6,838
Points
2,000
rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
6,838 2,000
Ni vema tukaelewa China itatawala Dunia miaka 10 ijayo na hakuna wa kuzuia hilo,Iwapo Marekani itafanikiwa kujitenga na Ulaya wakashindwa kufikia muhafaka juu ya bajeti mambo yanaweza kuwa mapema zaidi,Nchi iliyokuwa maskini kabisa miaka 30 iliyopita leo hii wanaongoza kuwa na uchumi imara,viwanda vingi visivyo na hesabu,investor kila pembe ya dunia.
Tuelewe uchumi wa China kwa sasa hivi umefika zaidi ya $2 trillion kulinganisha na tanzania ambayo imesimama kwenye $900million,,,,,,,,,,hakuna Biashara yoyote ile duniani ambayo haijakumbwa na uoga kuhusu China
Marekani walipotuonya kuhusu China ku recolonize Africa hawakukosea lakini na wao wamejaa uoga wa kuja kutawaliwa na China,,,,,kwa jinsi ninavyowajua Wachina watakuwa radhi kuangamiza baadhi ya mataifa duniani hasa waafrica ili wapate wanachokitaka
tunachokiona Tanzania ni cha mtoto kulinganisha na wanachokifanya mataifa mengine ya kiafrica kama Angola na Botswana,kusema kweli katika Africa ni Kaburu wa Africa Kusini pekee ameweza kuwa tishio kwa mchina items of investment
kazi tunayo hatuna pa kukimbilia zaidi ya kuamka usingizini na kujaribu kupunguza makali ya Mchini kwenye kutawala Dunia
 
K

kamkoda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Messages
396
Points
195
K

kamkoda

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2012
396 195
Umesomeka lakini kumbuka kuwa utajiri wa nchi ni pamoja na idadi ya watu wake...sisi kila siku tunapiga mbiu na uzazi wa mpango tutegemee kipi...tujifunze kwa wanaijeria.
 
M

Muya Kamota

Member
Joined
May 31, 2012
Messages
8
Points
0
M

Muya Kamota

Member
Joined May 31, 2012
8 0
Mkuu Rose Marie - Uliyoyaongea yana ukweli nusu. Nitafafanua -:

Ni kweli nchi ndogo ndogo kama Tanzania zinatakiwa kuwa angalifu na jinsi zinavyojihusisha na China. Tahadhari zinazotolewa na Marekani kwa mataifa ya Africa kuhusu the dangers of Chinese Neo Colonialism ni za kweli na tunahitaji kuzizingatia. Nchi zinazoendelea kama Tanzania zinatakiwa kuwa makini sana na jinsi zinavyosaini mikataba ya kibiashara na hatimae kufanya biashara na China. Mikataba mingi huwa haitufaidishi vyakutosha na pia hutuumiza kiuchumi, kijamii na kiafya. Bidhaa zao (wachina) nyingi hazina ubora na nyingine zina madhara ya kiafya. Haya, pamoja na mambo mengine mengi, ni mambo ambayo tunatakiwa kuyaangalia kwa makini sana.

Jambo moja ulilokosea kwenye tathmini yako ni pale uliposema kwamba MIAKA 10 IJAYO CHINA ITATAWALA DUNIA. Based on extensive research that I have done, concerning future global super powers, ushahidi unaonyesha kuwa China will never rule the world, nor will it become the world super power. That will never happen in the next 100 years. Kwa mujibu wa kitabu kiitwacho The Next 100 Years by Michael Friedman, China will never rule the world due to the following key factors -:

  • China haina millitary bases nchi za nje. Hakuna nchi yoyote itakayoweza kutawala dunia bila kuwa na military bases nchi za nje. Marekani na mataifa mengine machache sana yana military bases kwenye nchi nyingine duniani na hivyo kujihakikishia usalama na uwezo mkubwa wa kujilinda, kujihami na kupigana. Bila kuwa na uwezo huo hakuna nchi yoyote itakayoweza kutawala dunia. Ili kutawala dunia ni lazima nchi iwe na vitu viwili vya msingi- nguvu za kijeshi na nguvu za kiuchumi. Mambo hayo lazima yawepo yote mawili na yaende sambamba kama hands and gloves.

  • China ni nchi masikini sana in interior China. China ni nchi tajiri kwenye majimbo machache sana likiwemo Beijing, Shanghai na Guangzho. Other than those few states the rest of China is extremely poor, dry and weak. Ukifanya average kimsingi China bado ni taifa masikini.

  • Utajiri wa China ni artificial. Utajiri wa China umetokana na wizi wa utaalamu na technologia. Karibu kila Kila kitu wanachojivunia wachina wameiga au kuiba (ujuzi, utaalamu na technologia) kutoka mataifa ya magharibi. Uchumi unaotegemea wizi wa utalaamu na technologia sio utajiri wenye nguvu nawa kudumu. Wachina hawafanyi researchs and innovation. Huwa wanasubiri kuiba tu.

Kuna sababu nyingine nyingi, ila based on those few, it suffice to conclude that China will never rule the world in the next 100 years.

Nawakilisha!

Muya Kamota
Cleveland Ohio.
 
K

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,140
Points
1,500
K

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,140 1,500
Doubt it,states bado ni too strong kwa wachina kuweza kutawala dunia,chinese anategemea kuuza junk zake to grow their Economy na hawezi kutegemea soko la ndani kama States,kama Kamota alivyosema hapo juu Chinese hana original tech ya kumpa advantage kwa mataifa mengine bado ana copy tuu,anyway lakini wanakuja juu lazima ukubali maana miaka 30 iliyopita walikuwa nyuma sana kama maskini wengine lakini speed yao inatisha ila sijui kama kwa dunia ya leo wanaweza kuwa na mawazo ya kutawala dunia kama Hitler.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
9,295
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
9,295 2,000
Ni kweli. China will never rule the world
 
Ngwanakilala

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
711
Points
1,000
Ngwanakilala

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
711 1,000
Mkuu Rose Marie - Uliyoyaongea yana ukweli nusu. Nitafafanua -:

Ni kweli nchi ndogo ndogo kama Tanzania zinatakiwa kuwa angalifu na jinsi zinavyojihusisha na China. Tahadhari zinazotolewa na Marekani kwa mataifa ya Africa kuhusu the dangers of Chinese Neo Colonialism ni za kweli na tunahitaji kuzizingatia. Nchi zinazoendelea kama Tanzania zinatakiwa kuwa makini sana na jinsi zinavyosaini mikataba ya kibiashara na hatimae kufanya biashara na China. Mikataba mingi huwa haitufaidishi vyakutosha na pia hutuumiza kiuchumi, kijamii na kiafya. Bidhaa zao (wachina) nyingi hazina ubora na nyingine zina madhara ya kiafya. Haya, pamoja na mambo mengine mengi, ni mambo ambayo tunatakiwa kuyaangalia kwa makini sana.

Jambo moja ulilokosea kwenye tathmini yako ni pale uliposema kwamba MIAKA 10 IJAYO CHINA ITATAWALA DUNIA. Based on extensive research that I have done, concerning future global super powers, ushahidi unaonyesha kuwa China will never rule the world, nor will it become the world super power. That will never happen in the next 100 years. Kwa mujibu wa kitabu kiitwacho The Next 100 Years by Michael Friedman, China will never rule the world due to the following key factors -:

  • China haina millitary bases nchi za nje. Hakuna nchi yoyote itakayoweza kutawala dunia bila kuwa na military bases nchi za nje. Marekani na mataifa mengine machache sana yana military bases kwenye nchi nyingine duniani na hivyo kujihakikishia usalama na uwezo mkubwa wa kujilinda, kujihami na kupigana. Bila kuwa na uwezo huo hakuna nchi yoyote itakayoweza kutawala dunia. Ili kutawala dunia ni lazima nchi iwe na vitu viwili vya msingi- nguvu za kijeshi na nguvu za kiuchumi. Mambo hayo lazima yawepo yote mawili na yaende sambamba kama hands and gloves.

  • China ni nchi masikini sana in interior China. China ni nchi tajiri kwenye majimbo machache sana likiwemo Beijing, Shanghai na Guangzho. Other than those few states the rest of China is extremely poor, dry and weak. Ukifanya average kimsingi China bado ni taifa masikini.

  • Utajiri wa China ni artificial. Utajiri wa China umetokana na wizi wa utaalamu na technologia. Karibu kila Kila kitu wanachojivunia wachina wameiga au kuiba (ujuzi, utaalamu na technologia) kutoka mataifa ya magharibi. Uchumi unaotegemea wizi wa utalaamu na technologia sio utajiri wenye nguvu nawa kudumu. Wachina hawafanyi researchs and innovation. Huwa wanasubiri kuiba tu.

Kuna sababu nyingine nyingi, ila based on those few, it suffice to conclude that China will never rule the world in the next 100 years.

Nawakilisha!

Muya Kamota
Cleveland Ohio.
Nakubaliana na wewe muheshimiwa Kamota. Hawa jamaa hawatatawala dunia.
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
35,907
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
35,907 2,000
United States of America will forever be on top kuanzia Military,Economical.
China wanachofanya ni kuteka soko la nchi ambazo hazina viwanda kama Tanzania,na nyinginezo za Africa.
Hata ukiangalia China hawaja invest sana Europe,America wao target ni Africa na nchi likes za Africa
 
Tai Ngwilizi

Tai Ngwilizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2010
Messages
781
Points
170
Tai Ngwilizi

Tai Ngwilizi

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2010
781 170
Mawazo mazuri, ila sikubaliani moja moja na wale wanaosema China haiwezi kuwa superpower. Tunaweza kusema China haitakuja kuwa superpower iwapo tuta ignore economic issues zinazoendelea in the west na mabadiliko makubwa ya uchumi wa China ndani ya miaka michache iliyopita na yanayoendelea sasa hivi.
China inaweza kabisa kuwa super power, tena katika mda mfupi kuliko tunavyotarajia. Miaka 20 iliyopita hata hizo province ambazo zinatajwa kama province tajiri (Shanghai, Guandong na Beijing) hazikuwa popote katika good economy maps za dunia hii. Leo hii province nyingi sana zimeongezeka kwenye hiyo list, including sehemu kama Liaoning ambazo miaka 10 iliyopita sidhani kama kuna mwanauchumi angeweza kutabiria kuwa wanaweza kuwa katika list ya province za China zinazofanya vizuri kiuchumi. The low class chinese is shrinking and the middle and upper classes populations are increasing.
Kuna mambo ambayo ni unique kwa china kwa mfano cheap labour na kucontrol population growth kwa sheria ya kuwa na mtoto mmoja, nadhani haya yanawasaidia sana pia.
Kuhusu onyo la USA kuhusu Africa kufanya mikataba na China...I don’t buy on that , ni sawa na Chui anayempa onyo kondoo asishirikiane na mbwa mwitu huku chui huyo huyo akiwala watoto wa kondoo. Wa West wamedeal na Africa tangu uhuru lakini hakuna chochote kinachoendelea zaidi ya neo colonialism na mikataba ya wizi, mambo hayo hayo ambayo wanatuonya dhidi ya wachina ambao by the way ndio economy patners wao wakubwa.

Kama Mchina ni kichaa basi wao mamefanya kosa kubwa zaidi kwa kumkabidhi rungu, sasa hakuna anayeweza kujitoa kwa mchina si Marekani wala Tanzania.

It is sad to have a controversial nation like china as a world economy superpower, but unfortunately...it is happening.
 
StayReal

StayReal

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
519
Points
195
StayReal

StayReal

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
519 195
Ni vema tukaelewa China itatawala Dunia miaka 10 ijayo na hakuna wa kuzuia hilo,Iwapo Marekani itafanikiwa kujitenga na Ulaya wakashindwa kufikia muhafaka juu ya bajeti mambo yanaweza kuwa mapema zaidi,Nchi iliyokuwa maskini kabisa miaka 30 iliyopita leo hii wanaongoza kuwa na uchumi imara,viwanda vingi visivyo na hesabu,investor kila pembe ya dunia.
Tuelewe uchumi wa China kwa sasa hivi umefika zaidi ya $2 trillion kulinganisha na tanzania ambayo imesimama kwenye $900million,,,,,,,,,,hakuna Biashara yoyote ile duniani ambayo haijakumbwa na uoga kuhusu China
Marekani walipotuonya kuhusu China ku recolonize Africa hawakukosea lakini na wao wamejaa uoga wa kuja kutawaliwa na China,,,,,kwa jinsi ninavyowajua Wachina watakuwa radhi kuangamiza baadhi ya mataifa duniani hasa waafrica ili wapate wanachokitaka
tunachokiona Tanzania ni cha mtoto kulinganisha na wanachokifanya mataifa mengine ya kiafrica kama Angola na Botswana,kusema kweli katika Africa ni Kaburu wa Africa Kusini pekee ameweza kuwa tishio kwa mchina items of investment
kazi tunayo hatuna pa kukimbilia zaidi ya kuamka usingizini na kujaribu kupunguza makali ya Mchini kwenye kutawala Dunia

USA = $11 trillion!
 
Forum statistics

Threads 1,403,647
Members 531,313
Posts 34,430,198
Top