K Kishalu JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,173 Reaction score 713 Dec 3, 2012 #41 mm sijaelewa kitu kimoja yaani hicho kidole kinaashiria nini??? maana chadema hawatumii kidole kimoja, mleta mada hebu elezea alikuwa anaonyesha nini
mm sijaelewa kitu kimoja yaani hicho kidole kinaashiria nini??? maana chadema hawatumii kidole kimoja, mleta mada hebu elezea alikuwa anaonyesha nini
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Dec 3, 2012 #42 Futota said: Weka mwenyewe maneno. Cheers! Click to expand... anaye taka kuolewa nami mkono juu.