mi' simuelewi huyu mtoto!

mi' simuelewi huyu mtoto!

mi' ni supplier kwenye kampuni fulani, procurement officer wa pale ni bishosti mmoja, toka nianze kusuply huyo mdada amekuwa ananiletea zile za kidemdem ful txt, sometym cm hata ucku mnene nikimuuliza niaje anadai ananipa hi! juzi kati nikaona sio issue acha nimfungukie asijeniona kibisa, pigo alizoniletea eti anadai yy anamtu wake toka chuo na wamepanga kuoana, tatizo ananibania mi' kwa mademu wengine wa pale officn kwao kisa yy ndo mkuu wa dept, na mimi naogopa kupoteza tender yangu, nifanyeje?

mhm huyo mchape tuu kaka. anataka kugegedwa huyo mjengee mazingira mpaka chupi atavua.
 
Hayatuhusu. Pelekeni umbeya wenu kwenye majukwaa mengine. Kama huna cha kuandika, nyamaza kabisa, kaa kimya. Soma michango iliyoenda shule kama ya mzee mwanakijiji. Mnatupotezea muda hapa. Mnaboa sana. Hii tabia ikome mara moja kuanzia leo.
 
sasa kweli naamini "men are from Mars...."
watu wengine wanauliza maswali clumsy as if they're intruders from outside world....
 
Kailanga
::
Yuko upande wako bado.Kama unataka kuamini tafuta mwingine na iwe live sio recorded! Ndo utaona how women feel jealous as hell
=

Duh. Ushauri mwingine balaa
 
Back
Top Bottom