MI SIMO: Dr Magufuli wanamkopi vibaya jamani...

MsamiKowalski

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
285
Reaction score
56
MKE:Jamani Mme Wangu ndio tabia gani hiyo kuja mpaka jikoni na kuanza kuonja mboga..

MUME: Hapa Kazi Tu, nimefanya ziara ya ghafla kama MAGUFULI.
 
watu wanaleta utani aisee.
nimeikopi kama ilivyo fb wakuu ndo maana nimesema mi simo
 
Hahaaaa nilimsikia baragaza wa rfa kipindi mawazomawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…