Mi nililia kwa hasira,wewe je??


Hongera mkuu kama uko salama, na pole sana kwa kumpoteza mke na kukuachia watoto/mtoto mchanga/mdogo. Uko free kuoa ila sasa uwe makini zaidi kwa kumwomba Mungu akuchagulie ubavu wa ubavu wako na kitu cha kwanza kabla ya tunda ni kupima. Kila la heri.
 

Asante mkuu Zogwale .....
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi na Mpaka sasa nimethubutu kupenda MNO!

Umeona raha yake si ndiyo? Siyo kuchukuana ili mradi ndoa ifungwe,kutimiza wajibu..
Kupenda kukirudi kama zamani za wazazi na babu zetu,ingekuwa poa sana.
Siku hizi tunaangaliana kisomo,kazi,uwezo kifedha,na vitu kama hivyo...
 
Hata mimi sijaambulia kitu hapa.

Hukuwa wa kwanza asiyeelewa mkuu.. Sema wengi wanasoma kwa pupa.. Kuna mkuu hakuelewa mwanzoni,alipotulia akaniambia ameelewa na akanihoji maswali nikamjibu.. akina Ukwaju , Zogwale na wengine.. It is interesting na utajifunza kitu mkuu Likwanda ....
 
Last edited by a moderator:
Wengi tunashindwa kuzitumia hizi stories kwa manufaa. Kumbe ukisoma experience ya mtu,mbali ya kukusaidia wewe mwenyewe unaweza hata ukaelimisha wengine kupitia uzoefu wako katika JF..
Kinachotakiwa ni kusoma kwa makini...
 
Kuna mdada kwenye kamati ya harusi yake katibu alikuwa mchepuko wake. Muda wote wa vikao hadi baada ya harusi ataendelea kuchepuka naye. Muoaji imekula kwake kwasababu huyo dada hawezi achana na mchepuko wake. Hiyo kuolewa ni kwa sababu ya umri kusogea huku mchepuko ukiwa ni mume wa mtu na uwezekano wa kumuoa mke wa pili haupo. Kwa upande wako mshauri tu mkeo/mchumba awe tu na mchepuko huo mmoja unaojulikana rasmi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…