Yes kila mtu apewe afuge kitu chake kama ni tembo kila mtu apate dume na jike alinde mwenyewe.Miwanipe vitwiga viwili kavulana na kaschana na barabara kama Km 2 pale kibaha
Mie nmewahi ka-tower kamoja kati ya vi-twintower hapo posta,katembo kamoja kajike kenye mimba,katofali kamoja ka gold na kamoja kasilver,nyerere road na kakituo kamoja ka polisi sina uroho wa mali mie.