Mi naona aibu bhaaana!!!


Ohoooo, kumbe ni utenzi tu, good weka chorus basi wimbo ukamilike.
 
When i love someone nataka dunia nzima ijue sijui nyie mna kanuni gani
 
Kuwa wazi kwa jamii ni vizuri sana. Kama una mahusiano na mtu yabidi useme ili kama kuna tatizo uambiwe au ushauriwe. Mpenzi wangu anafahamika kwa wengi hata wasiokuwa karibu nami
 
bila shaka na akiwa peke huko ata ku refer 'kale ka kaka'
yaani hauna hata hatimilki ,mali si yako hiyo
 
Umenikumbusha enzi hizo nasoma nyanda za juu kusini unangusage sambi sako
 
When i love someone nataka dunia nzima ijue sijui nyie mna kanuni gani
<br />
<br />

ni vizuri kujulikana ila itakucost maana leo utatambulishwa na juma, kesho na john...na rafiki wengine wa juma ndo hao hao wa john....mi naona bora iwe kimya waache watu waone wenyewe mapenzi kikohozi hayafichiki
 
kweli, lakini haya ya kuoneana aibu yatakuwa kikohozi kweli?
 
Huyo dada yuko sahihi kabisa..anailinda cv yake mtaani,kwani anaona unataka kumtumia tu..namshauri akupe cha uso kabisaaa.
 
huyo demu kicheche.anakutega umuone ana aibu na hayajui hayo mambo.mademu wengine wanajifanya wagumu ukimpata unaona umepata kumbe ndo umejihukumu.mia
 
Na wewe ndio zako nini Swaggaz?
Ofcoz ni ushamba na ulimbukeni wa mademu uliojificcha kwenye vitabia vya sitaki nataka....
Inaboa sana!
co hivyo mkuu hapa duniana ukitaka kushangaa kila kitu hutashangaa vingi maana mabo ya giza ni mengi na hayaishi,
kila siku mtu anakuja na jambo lake jipya, inabid kuyazoea tu na kusema ya kawaida hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…