First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473

Yaani kama yuko hivyo jua wewe unachunwa tuu wala hakuna mapenzi hapo. Yaani wewe ni buzi tuu wala sio mtu wako

Fb mbona umeguna hapo

Hiyo ni kawaida kwenu matineja!

Ki ukweli anaona we labda hamuendani,yaani kwa lugha nyingine anajiona ye yuko high class,so anaona kumtambulisha we mpenzi wake ni kama unamuabisha,ye yuko kwako kimaslahi tu na sio kimapenzi

Kazamsuli mtoto wa kiume wewe

Jamani mbona unamshutumu bint wawatu! inaweza kua kweli hajazowea au ndio kwanza anaanza simnajua jamani wanaume mwanamke akiwa bado mpya kwenye mambo ya wakubwa anavyokua? muoga aibu tele sasa labda huyo nae ndio mmoja wapo, angekua mwalimu wa ufuska hata uwe na sura kama Avatar ya FB asingeona soo sababu unachunika na ngozi yako laini kuchunika au ATM yako ikiwa haina mpinzani.

Ni vizuri ukajua kuwa hawa viumbe huwa hawaeleweki,wanachofanya au kuesema sicho wanachofikiria,uamuzi ni wako!