Kuna jamaa alimkuta mpnz ake anatumiwa pesa na mtu flan yule dada akawa amemdanganya jamaa eti ni dada ake na baada ya kufatilia akakuta ni mpnz wake. Ila jamaa akafanikiwa kustop mahusiano ya dada huyo na mtu yule. Na hiyo ni kama mwaka 1 umepita.
Na kama haitoshi juzi kakuta mtu kamtext huyo dada eti mambo vp mchumba? Jamaa alipomuuliza huyu nan akamwambia ni binam ake cjui anazaliwa na babu ake mdg yan uhusiano wa mbali sana.
Huyu jamaa ni mtu wangu wa karb sana kwanza anasema dem wake huwa hapend kuongelea au kukumbushwa ishu km hz zikishatokea. Na huwa hapend kuongelea migogoro yoyote kwenye mahusiano yao bali huwa anakuja juu kwa kusema mambo kama:- inabidi uniamin, sitaki kuongelea mambo yaliyopita.
Licha ya kulalamika jamaa anaamin mpnz wake anampenda sana lakin kila akiniomba ushauri namwambia bora avue gamba.
Je wewe unamshaurije?