Mi naipenda tuu...

Mi naipenda tuu...

Pole sana Vkesy.... Nathani watu wengi hapa wanaogopa alittle bit of temptations and fun.... i liked it though i believe atakama utaweka avatar nyingine haita kusatisfy wewe kama hiyo nyingine...
 
i will always like this avatar gdpit_com_96764628_66.gif
 
Nimebadilisha haya jamni.......lakini dah......
 
Hatimae umeitoa...hongera sana kweli wewe ni muungwana ilizua mjadala mkubwa sana, ila mie nitaendelea kubaki na taswira ya avatar ya kwanza.
 
mahesbau wala ni vile tuu HUELEWI THIS IS A FREE COUNTRY U?...........
 
hahahaha no ifute coz this is a new me,, ila sijapenda huyo mahesabu it seems sio muungwa a great thinker can not think like that..... its a matter of sayin tu jamni......
 
Tatizo hii yako,inuharisia furani je?wafanana nayo?
 
motion ya kifua katikati ya shughuli

please badilisha kwa manufaa yako binafsi na wengine pia!!! Ni chafu hiyo kitu yako
Heeeh kumbe bht u mkali hivyo?
 
mahesbau wala ni vile tuu HUELEWI THIS IS A FREE COUNTRY U?...........


Ni kweli my dia bongo ni nchi huru, ila kwa avata ile ulikuwa unawanyima watu uhuru wao wa kusoma post zako. Maana wengi wetu ilikuwa lazima uhakikishe hakuna mtu anapita jirani yako ndio ufungue usome post zako.

Kutii ni bora kuliko dhabihu..............ubarikiwe
 
Heeeh kumbe bht u mkali hivyo?


Tall mtu wangu duh!! Leo ndo nimekuona tangu uwanja ubadilishwe ilikuwa ngumu sana kuwaona watu wako kona gani humu ndani!!

Anyway @Vkeisy uko bomba sana kwenye hiyo avatar, its decent!!

Thanks once again
 
Nimebadilisha nipeni basi huo ushauri si mlisema mpka nibadili
 
Nimebadilisha nipeni basi huo ushauri si mlisema mpka nibadili

usahuri wa ile biashara au??

mi nilidhani mpwa wangu Fidel kamaliza kila kitu kwenye ile thread au??
 
Hongera kwa kuitoa.. Iliacha hoi sana...
Kwenye ushauri nafikiri
jikite kwenye Mapishi Mama!
 
Loh Kumbe ile avatar imebadilishwa.,Mungu mkubwa maana ilinipa tabu sana na afadhali sasa sabuni zitadumu kila mara nilipokuwa nakutana nayo ilikuwa inanilazimu kukimbilia bafuni..
 
Back
Top Bottom