Mi naipenda tuu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mi naipenda tuu...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by vkeisy2006, Apr 13, 2010.

 1. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Jamani mi sielewi labda mniambie kwani hii avatar ina tatizo gani.....unaujua ule msemo unaosema usione ukazani.....ndo naomba utumike hapa.....naomba pia niwaombe radhi wale wote waliokwazika na hii avatar na pia niwasahihishe wale wote waliosema nipo kibiashara zaidi coz NO HELL NO am not ni vile tuu niliipenda hiyo avatar thats y nikaiweka hapo ilipo niliiona tu ya kawaida kam ile tu ya cheusimangala,na wengineo.....sikuona tatizo lolote lakini kumbe ina walakini mi sikuuona coz i think it luks gud....au?watu wanasema nibadilishe niweke nyingine ndo watanisaidia shida yangu jamni kweli huu sio ubaguzi eeh mana mimi i like it au?na it seems okey labda nakosea.....sijielewi au?mimi najirespect sana ile ni avatar tuu ambayo mtu yeyote anaweza akaweka msinifikirie vibaya jamani eeeh wan JF
   
 2. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Itabidi nitafute key board ya waterproof maana udenda unanichuruzika...kifua cha aina hiyo ndio ugonjwa wangu kama ni majaribu umeninasa nimeshindwa hata kukemea.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Hebu badilisha hiyo avatar acha longolongo!
   
 4. H

  HUBERT MLIGO Member

  #4
  Apr 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watu ndio washaona... na wameshadhani... itabidi uitoe tu ili wasiendelee kudhani...Teh teh teh
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mie mbona naona iko swafi tuuuu?
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Halafu na wewe una maneno mengi! Hebu ondoa hiyo kitu hapo!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Umri utakuwa unamsumbua. Si unajua hawa matineja?
   
 8. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AK-47 aliyekuambia hiyo ni kifua ni nani hebu iangalie muda mrefu ilatela picha nyingi hapo....mi naona sio kifua bana...au...
   
 9. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona kuna nyingine zipo humu JF zenye kukwaza tu, kamua tu bibie vkeisy2006.....maskini ndoa yangu!!!
   
 10. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umerudi Mama? Pole sana...
  Haijakaa vizuri vkeisy2006.. Badilisha plz.
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  sure thing!!............kuna mshughuliko hap chini....not gud bana! tuwe honest angalao kidogo.
   
 12. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Itoe basi..........
   
 13. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  HIKI SI KIFUA TUU AU MI CJAONA VIZURI......kwani hii nini au misioni vizuri au dah lakini poa ngoja toe ila against my will
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  motion ya kifua katikati ya shughuli

  please badilisha kwa manufaa yako binafsi na wengine pia!!! Ni chafu hiyo kitu yako
   
 15. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  he kumbe haya nabdilish a
   
 16. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimerudi baba! Asante nimeshapoa my dear! thanks
   
 17. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haitaki kutoka au imengangania! bana itoe inakwaza watu....
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  wewe ni binti mtiifu na msikivu

  very good vkeisy, fanya mambo tuendelee kujenga njii hiii

  asante in advance, yaani cant wait to see the changed 'you'
   
 19. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Honestly every time I come across ur posts i scroll down/up very fast, I dont read your posts... i dont wanna that kind of stuff to appear on my screen.... now pls i beg u to change it... we wanna know who is this person behind the avatar..
   
 20. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  itoe tu mama haijatulia.....mtu akiwa ktk public hawezi kusoma post zako maana mtu atadhani unaangalia porno.....hata ya cheusimangala ina mitego lkn ni kwa sbb ya lile umbo lkn ya cheusi haionyeshi sehemu za siri....hii ya kwako imezidi....hata kama ni kututega basi mnazidisha hadi mtatuwekea na porno clips kabisa....!
  halafu watu wamekwambia hawakupi jibu la biashara sbb ya hii lkn unaitetea which shows that you were not serious na suala la biashara uliyoongelea..........!
  which is important to you..........,this nasty avatar or the business idea uliyokuwa unaulizia!i guess u were jokin.......!
   
Loading...