Mi msukuma bana

Mbona siku hizi hii trend ya kuwa punch wasukuma imekuwa kubwa,what's the motive behind?.
 

Attachments

  • 1452851194816.jpg
    30.7 KB · Views: 73
  • 1452851227543.jpg
    54.5 KB · Views: 108
Siku hizi wako vizuri jamani waacheni Wasukuma, Hamuoni wanavyotutoa ulimi?
 

Attachments

  • 1452851750804.jpg
    18.4 KB · Views: 182
Sasa hivi mtasikia matangazo atakaye wanyanyapaa wakina ngosha atakiona cha....!
 
Wasukuma hatukatai utani?? Ila utani ufanywe na watani zetu ka wagogo, wangoni, wasambaa, wazaramo na baadhi ya makabila ya Pwani!! Huu unaoendelea no udhalilishaji!! Na motive yake no kuonesha wasukuma ni washamba ndo mana hawakuvote mabadiliko kitu ambacho si kweli!!
 
Kumbe mngoni na msukuma Ni watani .. Alaaaa
 
Wasukuma tabu sana,ingekuwa enzi za id amim dada tungewapeleka mto kagera wote!
 
Mmmh wasukuma😑
 

Attachments

  • 1452937092659.jpg
    68.9 KB · Views: 78
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…