Adu gida karibu sana katika jamvi la Great thinkers. Ila umekosea kidogo njia, ukirudi kitengo cha "HOME" utakuta kitengo cha JF SOCIAL FORUMS (Lounge) katika hio list utakuta mwisho kabisa kipengele cha utambulisho.... Hapo utakaribishwa rasmi na kupewa maelekezo na JF members. Karibu saana katika Jukwa la GREAT THINKERS....