A alejandro Member Oct 29, 2011 10 0 Oct 31, 2011 #1 Habari wapendwa, nafurahi kuungana na ma great thinkers, bila shaka mtanipokea kwa mikono miwili. Ntahitaji sana msaada wenu jinsi ya kutumia jf vizuri pale ntakapokwama. Nawasilisha!
Habari wapendwa, nafurahi kuungana na ma great thinkers, bila shaka mtanipokea kwa mikono miwili. Ntahitaji sana msaada wenu jinsi ya kutumia jf vizuri pale ntakapokwama. Nawasilisha!
mysteryman JF-Expert Member Aug 4, 2011 977 176 Nov 1, 2011 #3 Karibu haya kaa nikuletee one for the road...
kikahe JF-Expert Member May 23, 2009 1,350 282 Nov 1, 2011 #4 Karibu great thinker mwenzetu kama ulivyojiita.