Kwani kuna chama kimesusia uchaguzi ?ACT - Wazalendo wamekuja na ujumbe muhimu sana "#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA.
Ni jumbe kali sana. Napenda kuziwakilisha kwa NO REFORM NO ELECTION, ili tuzijadili hoja hizi mbili kwa kina.
Kwani ni takriban miezi 3 mpaka uchaguzi, hatujachelewa kwa jumbe moja au nyingine, meza inaweza kugeuzwa. Wakati wa maamuzi ni huu.
Si kujibizana, bali ni kujaribu kuelewa na kujadili idiolojia mbili tofauti. Kuona nje ya box ya kila upande, kwa mfano faida na hasara kwa nchi na watanzania kwa jumla...ACT wange-focus kwenye kampeni ya " Oktoba tunalinda kura. "
..kujibizana na Chadema kunawapunguzia nguvu ya kupambana na Ccm.
Kwenye hili, tupo pamoja kwani hata mimi namlaumu kukimbilia Urais badala ya kutetea jimbo lake la Kisesa.Inamaana wataanza kujitambua oktoba 29, Mpina ameshindwa kulinda jina lake huko kisesa, Ndo atalinda kula za Uraisi?
Watu sio wajinga bhana.
subiri uone mambo ambayo akili ya mwanadamu haikuwa na uwezo wa kuyang'amuaNathamini mchango wako. Ila kuna wengine wanaamini kuwa uchaguzi upo na hata wengine toka CHADEMA. Hawa wamelazimika kutafuta majukwaa mengine na kuomba ridhaa yakugombea nafasi tofauti kupitia vyama hivyo.
Wakati/muda ndio mwalimu wa kweli. Tusubiri wote. Kama kutakuwa na wabunge upinzani zaidi ya 25, upande wa Mhuni hasusiwi kura utakuwa sahihi. Kama jumla ya wabunge upinzani watakuwa chini ya 25, NO REFORM NO ELECTION utakuwa sahihi.subiri uone mambo ambayo akili ya mwanadamu haikuwa na uwezo wa kuyang'amua
Nasikia CHADEMA.Kwani kuna chama kimesusia uchaguzi ?
Una kauli ya kiongozi yoyote wa Chadema akisema wamesusia uchaguzi ?Nasikia CHADEMA.
Mmmmmm! Swali zuri. Si nimesikia WAMESUSIA UCHAGUZI. Kumbe watashiriki! Ni habari njema.Una kauli ya kiongozi yoyote wa Chadema akisema wamesusia uchaguzi ?
ACT wako sahihi kabisa. Ni suala la wapiga kura wote wa chadema na ACT kuunganisha nguvu ili kumuonyesha aliyeko madarakani kuwa hatakiwi.Ninachowasihi ni kimoja: Vyote ni vyama vya upinzani, Tujadili kauli mbiu hizo mbili:
Tujadili kauli mbiu hizi kwa undani kwa manufaa ya vyama vyote viwili ACT na CHADEMA. Pengine tunaweza kuwashawishi ACT wafikiri mara mbili katika kuingia katika uchaguzi au wana ACT watujengee hoja ili pengine wanaweza kuwashawishi CHADEMA kubadili mawazo yao na kuingia ktk uchaguzi. Dirisha lipo wazi.
- #MHUNI HASUSIWI UCHAGUZI
- NO REFORM NO ELECTION
Wewe hujielewi. Acha huo utoto. Go make some money.Mmmmmm! Swali zuri. Si nimesikia WAMESUSIA UCHAGUZI. Kumbe watashiriki! Ni habari njema.
Ninaamini ACT wame-focus kwenye kampeni ya "Oktoba tunalinda kura" hili ni jambo lao...ACT wange-focus kwenye kampeni ya " Oktoba tunalinda kura. "
..kujibizana na Chadema kunawapunguzia nguvu ya kupambana na Ccm.
Ni slogan ya kipumbavu na kid kidhaifu mno, wamelinda mara ngapi wakafanikiwa? Kama CCM wenyewe kwa wenyewe wanaibiana kura hadi kuuwana, wewe ACT si watakunyonyoa kabisa.??"#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA
Wananchi wa Zanzibar hawajawahi kupiga kura kwa wingi kuiondoa CCM kule, ila bado CCM inafaulu kukimbia na masanduku ya kura?ACT wako sahihi kabisa. Ni suala la wapiga kura wote wa chadema na ACT kuunganisha nguvu ili kumuonyesha aliyeko madarakani kuwa hatakiwi.
Ni kupiga kura kwa wingi sana ili waogope
Napenda uelewe kitu kimoja: Kwa mwanasiasa yeyote anayepatikana kwa kuchaguliwa na wanachi hata kama ni mgombea pekee akashindana na kivuli (Mfano wakati wa Mwl Nyerere). Na ikafahamika kuwa yeye kapata 40% na kivuli kikapata 60%. Na kwenye kutangaza wakapindua hizo namba, mwanasiasa huyo hatakuwa na raha katika uongozi wa kipindi chake chote.Ni slogan ya kipumbavu na kid kidhaifu mno, wamelinda mara ngapi wakafanikiwa? Kama CCM wenyewe kwa wenyewe wanaibiana kura hadi kuuwana, wewe ACT si watakunyonyoa kabisa.??
Kamsikilize Muliro alivowajibu kwenye Ile interview yake aliyofanya29 okt ndio tutazungumza lugha moja. Jana si leo, Maandishi Tz hayafuatwi. Kama katiba yenyewe inakiukwa mchana kweupeeeee, itakuwa hizo fomu za maadili. Na jana si leo, dunia inakwenda haraka sana. Wanajitambua hawa kuliko unavyofikiria wewe.
ACT - Wazalendo wamekuja na ujumbe muhimu sana "#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA.
Ni jumbe kali sana. Napenda kuziwakilisha kwa NO REFORM NO ELECTION, ili tuzijadili hoja hizi mbili kwa kina.
Kwani ni takriban miezi 3 mpaka uchaguzi, hatujachelewa kwa jumbe moja au nyingine, meza inaweza kugeuzwa. Wakati wa maamuzi ni huu.