Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Hili nalo ni Jambo la kuliweka Kwenye kadamnasi?,Kweli JF imevamiwa.Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati hup alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupiga ndo atakuja.
Nikamwambia asipige aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbi ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Kula kimasihara ndio hukuHili nalo ni Jambo la kuliweka Kwenye kadamnasi?,Kweli JF imevamiwa.
Umenikumbusha tukio nililofanya La Chaz songea daahh....Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati hup alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupiga ndo atakuja.
Nikamwambia asipige aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbi ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Tea bila sugar...Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu. Ila sahizi anarudi kwake alipita tu kunisalimia. Nikamwambia namtaka na wakati hup alishaondoka, akasema ngoja nimpigie, lakini simu yangu haina vocha.
Nikampunguzia 5000, akajiunga akampigia wakaongea sana, baadae akaja kuniambia kaelewa lakini hadi amalize kupiga ndo atakuja.
Nikamwambia asipige aje ale hapa. Akaelewa.
Kosa nililofanya ni kumuambia chukua bia unywe, mimi huwa naagiza bia mbilimbi ndo utaratibu wangu, kumbe na yeye akawa anafanya hivyo hivyo akiwa na wahudumu wenzake watatu.
Basi yule mwalimu akaja tukanywa tukala, sasa wakati naletewa bili ili niondoke na bibiye nashangaa inasoma bia 36. Nikauliza vipi mimi nimekunywa nane na konyagi ndogo moja na mwalimu kanywa maji tu.
Akasema si nilimwambia anywe hivyo na yeye akawa anaagiza mbilimbili na wenzie watatu. Nikacheka tu, nikalipa nikaondoka na mwalimu tukafanya yetu, asubuhi nikaenda Mbinga kufanya lililonipeleka.
Wakati narudi nikapita tena Songea na nikaonana tena na teacher.
Nimerudi naendelea kuwasiliana na teacher, kasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
π€π€ππkasema mwezi wa tatu atakuja Dar kumsalimia mama yake mdogo.
Songea mjini mkuu..Bar IPO maeneo gani !kuu
Bado hatujanyookaIla inflation na recession yake bado hazijatupiga kisawasawa bongo.
Hapana mkuu, siyo kweliππHuu mwaka utakua mrefu sana
Cha muhim ni kujiuliza tu, ni mwalimu katika kada/tasnia ipi, je, ni katika sekta rasmi au isiyo rasmi?π€π€ππ
Una uhakika huyo ni Mwalimu.!!!?
HatariNchi ya matajiri sana mkuu