Mhubiri smart boy akitumia njia ya kujichafua na Mungu akatuona wa thamani

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
0c96281c57b1d66c42a9a1f80b11ea04.jpg
 
Hapo baada ya miaka kadhaa unamkuta ana majumba na magari ya kifahari kama wengine tunaowajua..
Na ndo muda huo atakuwa sio mchafu tena,atatumia kitaulo kidogo kujifuta majasho anapokuwa kwenye madhabahu ya kanisa lake.....
Na bado watu wataendelea kumfuata na kumpa sadaka mkononi.
Daaaaaaaaaaaahhh...
 
Back
Top Bottom