mhogo umekwama kooni

mhogo umekwama kooni

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Jamaa amekaa na mzungu kwenye banda la mihogo ya kukaanga wakiwa wanakula ghafla jamaa muhogo ukamkwama na maji anayo yule mzungu, weeee hapo sasa..!! Jamaa akaanza ''ZE.. ZEE.. CASAVA IZ STANDING AT ZEKOLOMELO WATER PLZ!!! Mzungu akamuangalia kisha akamwambia; ''UTAKUFA MDOGO WANGU WE SEMA TUU UNATAKA MAJI, MI MSWAHILI WA SINZA MORI, NGOZI ISIKUZUZUE."
 
Msandawe kaenda safari huko marekani,alipofika hotelini akashangaa wanaongea english,kesho yake asubuhi akiwa chumbani ikabidi apige simu reception akiongea english.
Msandawe:"Tou ti tou loum tou."
Mhudumu:"Ta ta ta tou tou tou!" halafu akakata simu.

kesho yake manager akamfukuza kazi mhudumu,kumbe aliyepiga simu alikuwa anasema "bring tea to room two"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom