Mhindi auwawa

We nani kakutaza kuishi oyster bay na kujilimbikizia uswiss?
 
Nahisi kama ndo alikua hapa mwanza wana duka la kuuza stationery posta road jirani na mwanza hotel linaitwa united stationery na anaitwa kausha alikua bonge hivi!nasikia pia alihamia dar!alikua na kiburi balaa!anyway RIP bro watu wanatafuta karo za shule!
 
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??

Huo ni ubaguzi...
kw mtazamo wangu,nadhani mtoa mada/taarifa alikua ana lengo la kutujuza utaifa wa marehemu kwani hata mtanzania akiwa nchi nyingine,atabaki kuwa mtanzania tu,kwa mfano kuna mwana jf alishawahi kuripoti ,'mtanzania'akutwa na madawa ya kulevya China.Nawasilisha.
 
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??

Huo ni ubaguzi...

umenikumbusha ile ya "tuko wawili na mmasai mmoja"
 
huyo aliyekufa ni muhindi so ubaguzi watokea wapi, hata wewe ukifa kwao utaitwa mswahili kauwawa na majambazi.
 
kweli mkuu
 
Ccm acheni hizo hawa jamaa wamefikaje kwenye issu ya kanjibhai
 
We umenena ...hongera kwa kuwajuza maana humu jf watu wanafata mkumbo akianza mmoja woote wanafata...hasa kutajwa mhind wanalalama nini ... SABANI KATA SHAHARA VEVE !!! R.I.P MHINDI.
 
We umenena ...hongera kwa kuwajuza maana humu jf watu wanafata mkumbo akianza mmoja woote wanafata...hasa kutajwa mhind wanalalama nini ... SABANI KATA SHAHARA VEVE !!! R.I.P MHINDI.
wambie mhindi kauwawa
 
Pigman unasahau utaifishaji wa majumba wahindi na waarabu walinyanganywa majumba na biashara zao baadhi yetu tukawa tunakaa mjini tukaona hapatufai tukaanza kuwauzia hao hao wahindi na waarabu na sisi tukaamua kurudi nje ya mji sasa unamulaumu nani? Kila biashara tulizopewa tuliua mpaka ya bucha.Nenda nje ya nchi ukaone mali zinamilikiwa na hao hao waafrica wenzetu usibague watu kwa dini au kabila ila bagua kwa ubaya na uzuri wa mtu kila kabila ina watu wazuri na wabaya.
 
We nani kakutaza kuishi oyster bay na kujilimbikizia uswiss?

Huyo pig man si wa uswiss ya Switzerland!
Huyu anaishi pale manzese kwa wakabaji! Panaitwa manzese uswisi!
Pa wale vibaka wa kabali za.mbao.
Joloe!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??

Huo ni ubaguzi...

Sidhani kama mtoa Mada ana lengo hilo.Ni kutambulisha utaifa wake !Nadhani hat a Mimi nikifa nchi za watu watatangaza "Tanzania mmoja auwawa na majambazi."ni mtazamo tu.
 
Kwani kusema mhindi ni ubaguzi? Sawa angeweza kuboresha kwa lugha mzuri zaidi lakini hajaingia kwenye ubaguzi, wabaguzi ni wale waliocoment kwa furaha wakiunga mkono tukio hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…