Mhindi atolewa nishai!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

Najua katika pitapita za maduka ya wahindi utakumbwa na macho yanayokushuku kua umekuja kuiba mle dukani.Jana hali hii ilitokea mjini Nakuru na jamaa mwenye duka akaamua kumletea customer wa kiafrika usenge..eti kaja kuiba.Punde si punde ngumi zikaanza na muhuindi wa watu alipewa kibano cha kishua.Mwera zenyewe zilishindwa la kufanya ila kumwambia jamaa kubali yaishe..kupigwa umepigwa na ni ujinga wake mwenyewe.

Cheki picha hio:

news_240508_01.jpg

Sio kwa ubaya lakini hii mijitu hua inaniuzi kwa kasumba hizi za kipuzi!
 
hahaha, kwanini wanatuona watu weusi kama weziwezi? inamaana wao sio wezi wanapokulaga dili na viongozi wetu kuwa kivuli cha biashara za watu wa selikalini?, na wanapoiba kodi, kwani huo sio wizi?, kuna siku tutawatoa mkukumkuku aiseee, kwenye yale magorofa ya kariakoo na upanga watatembelea meno. na kwanini miaka yote wao tu ndo wanakaa kwenye yale magorofa?, wanakera sana hawa watu. yaani wanakera. ma fund raiser wa ccm, na wakwepa kulipa kodi.
 
Wamekuwa na hisia mbaya dhidi ya Waafrika tangu siku nyingi tena kwa kuwaita majina kama vile Magabacholi, kwao huko ni wezi wa kutupwa.
 
hata ulaya na kule marekani inatambuliwa hivyo kuwa mtu mweusi ni mwizi mimi binafsi yamenikuta ujarumani nikiwa nanunuwa vijiguo kwa ajili ya zawadi nikiwa narudi kwetu tanzania na hilo tusiwalaumu hao watu kwani ni makosa yetu sisi wenyewe
 
hata ulaya na kule marekani inatambuliwa hivyo kuwa mtu mweusi ni mwizi mimi binafsi yamenikuta ujarumani nikiwa nanunuwa vijiguo kwa ajili ya zawadi nikiwa narudi kwetu tanzania na hilo tusiwalaumu hao watu kwani ni makosa yetu sisi wenyewe


Makosa yapi mzee.
Huko Ujerumani wewe ulikosea kipi, nini ungetakiwa kufanya tofauti?
 
Afadhali sana wamewapa discpline maana hawa jamaa wakikatisha gerezani vibaka wakianza kuwashughulikia watu iwa wanawashangilia sana na hakuna anaye toa msaada wamezidi sana...
Vilevile wanawanyanyasa sana dada zetu wanaofanya kazi za ndani kwa hawa watu baasi tu viongozi wetu ndio wanaoturudisha nyuma yaani binti analazimishwa ashike nyeti za mhindii kweli jamani hawa watu hawafai tufanyaje????
 
hata ulaya na kule marekani inatambuliwa hivyo kuwa mtu mweusi ni mwizi mimi binafsi yamenikuta ujarumani nikiwa nanunuwa vijiguo kwa ajili ya zawadi nikiwa narudi kwetu tanzania na hilo tusiwalaumu hao watu kwani ni makosa yetu sisi wenyewe

Ina maana ni makosa yetu sisi wenyewe kwasababu ni Watu weusi...?
 
swafiiiiiiiiiiii swafi sanaaaaa....hii miponjoro inakera mnoo!

Mtaalam,

Hahahahaaaa...asante mkuu.
Samtaimu inabidi wafanyiwe kama vile tangazo la biashara!!!!

A'fu mie nawasikitikia wale wenzetu wanaowafanyia kazi...kuanzia
majumbani hadi kwenye zege.Huyo bwana hapo juu sijui Black Jesus...I'm not feeling his statement.Kama wangekua wanatunyanyasa kwao basi ningekua na mtazamo tofauti.

Hapa ni kwetu bwanaa na inabidi tupewe heshima tunayostahili.If you are her as a visitor you better style up and get with the program...sasa wewe unamshuku mtu ni mwizi na kumbe kaja dukani mwako kukupa hela....This a lot of bull na mimi naona sawa jamaa kutembezewa kibano...awe kama funzo kwa wadosi wengine wenye kasumba kama hizo.
 
Hii story imeacha gaps nyingi, bado sidhani kuwa hawa jamii walipigana just tu because mwenye duka alidhania aliyeingia dukani kwake ni mwizi, kwa sababu huko nakuru majority ni watu weusi sasa iwapo watakuwa kila anayekuja wanamuona mwizi wasingeweza kufanya biashara.

Hawa ni raia wenzetu na tusiwaangalia kwa jicho tofauti na tunalowaangalia raia wengine, kila mtu ana mapungufu yake.
 
...Hawa ni raia wenzetu na tusiwaangalia kwa jicho tofauti na tunalowaangalia raia wengine, kila mtu ana mapungufu yake.

Majira January 18, 2008:

"Urgently Required: Sales person male/female for a pharmacy at Shoppers Plaza. Should be: Form 1V/V educated. Fluent in English. Tanzanian of Asian Origin. Please contact 0754-673586."


Wahindi ni wabaguzi. Mi nadhani mapungufu yao yamezidi!

(Aliye tunza ile picha ya hili tangazo mlangoni kwa Pharmacy ya Mhindi Shopper's Plaza tafadhali naomba abandike au anitumie.)
 
hawa wahindi ni wabaguzi sana. Na mimi nashangaa sie ngozi nyeusi twajifanya kuwatetea eti kwa rungu la kutowabagua. Lakini wahindi ni wezi wakubwa, watoa hongo wakubwa, na wabaguzi wa hali ya juu. Thubutu uchumbie binti wa kihindi hata kama anaku mind huwezi kumuoa. Lakini wao wanadhani kuoa dada zetu na kwa kweli sio kuwaoa bali kuwatia mimba ni halali kwao. Maana mhindi hata akijifanya kuoa mweusi lazima aoe na mhindi mwenzie. Ni wabaguzi wakubwa hawa. Na kama sisi tutaonekana ni wabaguzi basi wao ni namba moja.
 
Nampa five huyo mbantu mwenzangu alimpa discipline mponjoro.

Hiyo ni beeping. naamini iko siku tutawapigia kabisa simu.
Siku hiyo tutawatoa kule kwenye maghorofa ya Kariakoo, Kule Sea Cliff, Katikati ya miji yote Tanzania, tuwatimue kama alivyofanya Iddi Amin Dada wa Uganda.

Kama ni raia basi tugawane utamu wa nchi, Wao wakae pale pazuri halafu Wabantu wagombania pori tu???.

Hata hivyo sisi wenyewe tanatakiwa kubadilika sana kifikra.
Waafrika wengi sana wanajiona inferior wanapokuwa mbele ya mtu yeyote mwenye ngozi nyeupe. Hata dada zetu ili kuwa na thamani kubwa wanajichubua wawe na rangi nyeupe.
TUJIAMINI na KUJITHAMINI kwanza ndipo na wengine nao watatuthamini!!!!

Once again namtakia ponjoro aliyetwangwa slow recovery!!!!!!!!
 
Majira January 18, 2008:

“Urgently Required: Sales person male/female for a pharmacy at Shoppers Plaza. Should be: Form 1V/V educated. Fluent in English. Tanzanian of Asian Origin. Please contact 0754-673586.”


Wahindi ni wabaguzi. Mi nadhani mapungufu yao yamezidi!

(Aliye tunza ile picha ya hili tangazo mlangoni kwa Pharmacy ya Mhindi Shopper's Plaza tafadhali naomba abandike au anitumie.)

Ni ukweli huu ni ubaguzi wanaouonyesha ndugu zetu wenye asili ya kiasia. Na ubaguzi huu unapaswa kupigwa vita.

Hata hivyo tukumbuke kuwa ubaguzi huu upo miongoni mwa watanzania wenye asili ya kiafrika pia!

Kuna siku nilienda kumtembelea rafiki yangu chuoni. Wakati nakatiza nae katika mitaa ya chuo kuna jamaa akamuita toka kwa mbali, akamuuliza "aisee nauza kitabu cha ...,hakuna mwanafunzi kutoka moshi anayekihitaji". Kwake yeye aliona ni muhimu kuulizia kwanza kama hakuna mtu "toka Moshi" atayehitaji, akikosekana ndio atafute mteja mwingine. Huu pia ni ubaguzi. Na huu ni mfano mmoja, kila mtu ana story yake.

Kuna siku nilikuwa field kwenye shirika fulani Tanzania. wafanyakazi wa pale wakaanza kuniuliza kabila langu. Mimi siku zote hujitambulisha kama mtanzania, hawakuridhika.Nikawauliza kwa nini wanataka kujua kabila langu, wakaniambia wanahitaji kujua kama mimi ni mtu wa kwao au la ili nikiwa na tatizo waweze kunisaidia.Nilikuwa na audacity ya kuwaambia kusema ukweli sihitaji msaada on the basis of my tribe!

Kwa hiyo ubaguzi upo sio kwa wahindi peke yao.Cha muhimu ni kuvumiliana na kuelimishana ili kuongeza kuelewana.
 
hata ulaya na kule marekani inatambuliwa hivyo kuwa mtu mweusi ni mwizi mimi binafsi yamenikuta ujarumani nikiwa nanunuwa vijiguo kwa ajili ya zawadi nikiwa narudi kwetu tanzania na hilo tusiwalaumu hao watu kwani ni makosa yetu sisi wenyewe

Ni makosa yetu wenyewe kwa lipi tulilolifanya? :confused: kuzaliwa waafrika!!!? Wacha kujishusha hadhi bwana!!!!!! Kwa wazungu kuna wezi pia, kwa wachina kuna wezi pia, kwa wahindi kuna wezi pia. Kwanini tuwe tunashukiwa sisi tu kama ndio wezi na majambazi na ilhali wengi wetu hatujihusishi kabisa na ujangili au wizi wa aina yoyote? Hebu fafanua!!! Kama unaona aibu kuzaliwa Mwafrika basi unaweza kumuiga Michael Jackson ili uwe mzungu na kuondokana na dhana yako hiyo potofu.
 
Not all Bantus are thieves but most thieves are Bantus. That is a fact! Put yourself in an Indian shop owner shoes, you probably would act the same way. If you say you wouldn't then you are a liar. The solution is not punching the Indian business owner, just don't shop in his shop. Violence solves nothing.
 
Not all Bantus are thieves but most thieves are Bantus. That is a fact! Put yourself in an Indian shop owner shoes, you probably would act the same way. If you say you wouldn't then you are a liar. The solution is not punching the Indian business owner, just don't shop in his shop. Violence solves nothing.

That thought is so outrageous you had to create a new name to say it.

That wasn't so gutsy!
 
Manji Supporter,
Nafurahi huyo ponjoro unayemtetea amelishwa alichostahili. Wahindi walioko Afrika wana dharau sana. Ukienda kwao India ndio utawaonea huruma. Afrika wanaishi kama mbinguni vile.
 
Back
Top Bottom