Mhimili wa Mahakama umeoza unahitaji huduma ya kwanza

Mtemi kesi inaendeleaje vipi yule mdau aliyekuahidi huku kukupa mbunye ametekeleza ahadi
 
Kuna haja ya kufumua mfumo mzima wa mahakama na kufanyia marekebisho makubwa ili kulinda heshima ya Utu wa Mtanzania na kulipa Heshima Taifa la Tanzania.Nakuifanya Afrika kuiga kutoka Mahakama za Tanzania

Deogratius Nalimi Kisandu
Sio muhimili dawa ni kumfumua aliyeuozesha natumaini unamfahamu mkuu
 
Kwahiyo unadhani nani ameifanya uoze na ninani analojukumu la kufanya usafi huo?

Kafikirie tena namna bora ya kutatua hicho unachokiita uozo
 
Kuna haja ya kufumua mfumo mzima wa mahakama na kufanyia marekebisho makubwa ili kulinda heshima ya Utu wa Mtanzania na kulipa Heshima Taifa la Tanzania.Nakuifanya Afrika kuiga kutoka Mahakama za Tanzania

Deogratius Nalimi Kisandu
aliongea mwinyi na amepuuzwa wewe na ukurutu wako tutabaki kulalamika umu umu jamii forum kwengine ukijaribu tutakukuta kokobeach unasubiri miogo

kiukweli unauma sekta zote uozo
 
Back
Top Bottom