Mhimili wa Mahakama uhamie Dodoma

Mhimili wa Mahakama uhamie Dodoma

Hahahaha masikini wewe.nadika kitu unachokifahamu. Hakuna neno "adsardy" bali neno sahihi ni "absurd" na pengine umekusudia kuandika "absurdly" na hata hivyo haiwezekani hayo maneno kuwa pamoja kwenye sentence bila ya kuwepo maneno mengine namaanisha Completely na absurdly kwa sababu yote ni adverb
Nilikuwa nabishana bure nilitakiwa nijue tangu msg yako ya mwanzo ya kuwa muandishi kuwa ni kilaza na kihiyo.ni kosa langu kutogundua hilo. pole sana
Nashukuru sana kwa corrections.I didnt' edit. Thanks
 
Hahahaha masikini wewe.nadika kitu unachokifahamu. Hakuna neno "adsardy" bali neno sahihi ni "absurd" na pengine umekusudia kuandika "absurdly" na hata hivyo haiwezekani hayo maneno kuwa pamoja kwenye sentence bila ya kuwepo maneno mengine namaanisha Completely na absurdly kwa sababu yote ni adverb
Nilikuwa nabishana bure nilitakiwa nijue tangu msg yako ya mwanzo ya kuwa muandishi kuwa ni kilaza na kihiyo.ni kosa langu kutogundua hilo. pole sana
Nashukuru kwa correction.But immaterial.
 
Hahahahaaaa wewe hukukosea ulikuwa hujui unachokiandika lakini ulitaka kujuonyesha kama mjuzi
 
Kwanza lazima uelewe, mpango wa kuhamia Dodoma ni wa mhimili wa serikali wala si mihimili yote nafikiri hata maagizo ya Raisi katika suala hilo yako wazi, ila maoni yako unayoyaona ati ni 'busara' yanakizana hata na mpango wenyewe.

Vile vile, sheria zinazotambua uwepo wa mahakama, mathalani mahakama kuu na masijala zake zipo wazi na hakuna aliye juu ya sheria hata Raisi mwenyewe. Soma sheria chini hapa 6(1).
IMG-20171223-WA0002.jpg
 
View attachment 658073

Sheria hiyo ni amendable.Hiyo siyo kizuizi cha kuhama. Unajuaje kuwa lilikuwa agizo kwa executive tu? Raisi aliagiza kama head of state, mahakama iko chini yake. Majuzi CJ alipomtembelea raisi Ikulu chamwino alisema majengo ya mahakama na majaji yataanza kujengwa Dodoma mwezi January. Je unadhani hayo majengo ni kwaajili ya matumizi ya nani? It is a proven fact that th judiciary main registry is going to be relocated to Dodoma.The issue is when.
 
Suala la kuhamia Dodoma nani ahamie na mpaka kufikia lini nafiriki lipo wazi kwa mipango ya serikali na utaratibu wa serikali, mengine ni maoni yako tu, kama unachosema majengo ya mahakama hayaja jengwa na Raisi ameagiza huo ujenzi masijala kuu ihamie huko kufanya nini kama hakuna hiyo miundo mbinu?

Hiyo unayoita ati proven fact ni mere assumption, hakuna kilichosemwa exppressely kwamba mahakama masijala kuu ihamie ama ina hamia Dodoma, taarifa rasmi hiyo haipo by neccesary implications unachozungumza ni udaku tu subiri taarifa rasmi baki na maoni yako.
 
Huna sababu za msingi zinazokufanya uwe na HOFU ya kuhamia Dodoma. Time will judge. Au uache kazi au jipange kuhamia Dodoma. Weka saikolojia yako vizuri kwa utekelezaji wa hilo.Hujachelewa.
 
Jamaa kasema Jana kwa mama Nyerere mwezi wa 12-2018 anahamia Dodoma.
Time will tell
 
Back
Top Bottom