Mhimili wa Mahakama uhamie Dodoma

Mhimili wa Mahakama uhamie Dodoma

Mligo Augustino

Senior Member
Joined
Nov 29, 2017
Posts
126
Reaction score
278
Tumeona utekelizaji wa serikali kuhamia Dodoma ukienda kwa kasi nzuri. Bunge liko Dodoma, Makamu wa Raisi ameshahamia Dodoma,Waziri Mkuu ameshahamia Dodoma,Raisi ameweka bayana kuwa mwakani anahamia Dodoma.Safi sana.

Kwa nini mhimili wa Mahakama hauonyeshi dalili za kuhamia Dodoma? Hivi wanataka mkuu wa dola(Raisi) atakapohamia Dodoma mwakani, akaribishwe na nani? Au wanataka mpaka Raisi atangulie kuhamia Dodoma, then wao waje?

Kwa busara ya kawaida sisi wananchi tunatarajia MHIMILI WA MAHAKAMA uhamie Dodoma kabla ya Mheshimiwa Raisi kuhamia Dodoma.Raisi ni HEAD OF STATE(Ibara ya 33 ya Katiba).Kikatiba mihimili yote mitatu ipo chini ya Raisi wa Jamhuri.
 
Hoja zako hazina mshiko wowote.mahakama makao yake makuu yanaweza kuwa dar na kila kitu kikawa poa Tembelea nchi nyengine na uone mfano South Africa.
 
Labda wanaogopa kukandamizwa na muhimili uliojichimbia chini zaidi
 
Hoja zako hazina mshiko wowote.mahakama makao yake makuu yanaweza kuwa dar na kila kitu kikawa poa Tembelea nchi nyengine na uone mfano South Africa.
Usiwe hostage wa copy and paste.Tengeneza mfumo wako.
 
Mfumo gani utakaotengeneza.Tangu tunapata uhuru wa nchi hamna jipya ambalo tumefanya wengine hawajalifanya.Mimi nimekupa mfano huo ya kuwa system ya sasa inawwza kufanya kazi kwa ufanisi Zaidi hata kama raisi atakuwa Dodoma. Ya nini kutumia Gharama kibao wakati pesa zile zinaweza kuwa channeled katika huduma nyengine za maendeleo . lakini mwenzangu una akili sana in such away wengiine wote hata viongozi wa serikali wameshindwa kuona kama unavyofikiria wewe. Mwisho wa siku muono wako uko finyu na hauna mshiko wowote
 
Jiongeze kidogo, utafika.Maamuzi yameshafanyika lazima mihimili yote ya dola ihamie Dodoma, no more no less.Tunaongelea utekelezaji wa maamuzi sahihi.
 
Pamoja na ufinyu wa akili yako, Utashuhudia takwa hilo la kidola likitekelezwa. CCM hoyeee!
Nina uhakika wewe uko finyu Zaidi kuliko mimi kwani unaongea vitu ambavyo huvijui unakurupuka kuandika ili uonekane na wewe umo.hizo fikira zako ni sawa na yule mtu anaezurura mitaani ya kuwa na mawazo ataenda ulaya na kuwa tajiri.Pole sana
 
Completely absardy.. You are dreaming.
 
Sehemu kuitwa "makao makuu" haimaanishi kila kitu lazima kiende huko. Na kiuhalisia vitu kadhaa vitabakia Dar
 
Completely absardy.. You are dreaming.
Hahahaha masikini wewe.nadika kitu unachokifahamu. Hakuna neno "adsardy" bali neno sahihi ni "absurd" na pengine umekusudia kuandika "absurdly" na hata hivyo haiwezekani hayo maneno kuwa pamoja kwenye sentence bila ya kuwepo maneno mengine namaanisha Completely na absurdly kwa sababu yote ni adverb
Nilikuwa nabishana bure nilitakiwa nijue tangu msg yako ya mwanzo ya kuwa muandishi kuwa ni kilaza na kihiyo.ni kosa langu kutogundua hilo. pole sana
 
Back
Top Bottom