Photo: IRIN![]()
Religious linked violence in Geita, Tanzania (file photo).
[h=1]Tanzania: TAG Pastor Beheaded in Religious Skirmishes[/h]
Bukoba A PASTOR with the Tanzania Assemblies of God (TAG) Church at Buseresere has been beheaded during religious-linked conflicts at Buseresere town, in Geita Region.
A spokesperson for the Geita Regional Police Commander's Office, Mr Denis Stephano, identified the deceased pastor as Mathayo Kachili.
He said conflicts had been boiling for quite a while now in the area where a section of what are believed to be Muslim leaders had demanded immediate closure of butcheries owned by Christians.
He said that a group of youths believed to be Muslims assaulted several Christians using sticks and machetes and attacked a butchery owner at Buseresere town. During the confrontations pastor Kachili was beheaded.
According to Mr Stephano, several people are believed to have been injured, some in critical condition and were admitted to Buseresere hospital to receive treatment. He said the Chato District Commissioner (DC), Mr Rodrick Mpogolo, visited the scene and called for calm and religious tolerance among believers of the two faiths.
He said that members of the riot police dispersed the unruly crowd, noting that the situation has now returned to normal. He said the body of pastor Kachili is preserved at the Buseresere hospital mortuary. This is the first incident in the Lake Zone whereby Muslims and Christians confronted each other leading to bloodshed.
Last year, the Minister of State (President's Office), Mr Stephen Wassira, visited the area and called for tolerance between the two religions.
Geita Violence Saddens Kikwete
PRESIDENT Jakaya Kikwete has condemned Monday's religion linked violence at Buseresere in Geita Region which left two see more »
[h=4]http://allafrica.com/stories/201302120099.html[/h]
Ayaaa! Weshachakachua. Mbona hakuna mchungaji hakuwa beheaded kama wanavyoutangazia ulimwengu!
Lakini ukitizama katika Biblia utakuta muujiza wa kwanza wa Nabii ni kugeuza maji kuwa pombe safi (Yohana 2: 2 – 11) ilhali Qur-aan inatufahamisha kuwa muujiza wake wa kwanza ni kuzungumza akiwa mchanga, sa kitabu kipi kinasema ukweli.Yesu akamwambia: "Mimi ndiye njia na kweli na uzima. Hakuna anayekuja kwa Baba ila kupitia kwangu. [SUP]7[/SUP] Kama mngekuwa mmenijua, mngekuwa mmemjua Baba yangu pia; tangu dakika hii na kuendelea ninyi mnamjua na mmemwona.
Yohana 14:6-7
Lakini ukitizama katika Biblia utakuta muujiza wa kwanza wa Nabii ni kugeuza maji kuwa pombe safi (Yohana 2: 2 – 11) ilhali Qur-aan inatufahamisha kuwa muujiza wake wa kwanza ni kuzungumza akiwa mchanga, sa kitabu kipi kinasema ukweli.
"(Jesus "Isa" wakati mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Swalah na Zakaah maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu" (Surat Mariam (19): 30 – 32).
Hivi Bibilia hazioni aibu kusema miujiza wa kwanza Prohet Issa(Jesus) kufanya ilikuwa kugeuza maji kuwa pombe, yani Jesus alikuwa anapenda sana ulevi au Paulo ndo alikuwa mlevi mkubwa...Hivi hamuoni kama Paulo ni shetani.
Wacha wapi kuna makahaba kwenye pepo, naona unataka kuwa paulo mpya, afu hizo pombe gani mbona mimi sijasikia kama kutakuwa na pombe kama hizi za duniani :biggrin:wewe ni muislamu au shabiki wa uislamu hujui korani inasema kwenye pepo ya kiislamu kutakuwa na pombe za kumwaga na makahaba wengi, sipati picha mtakavyokuwa chakali huku mkipigana miti mbele ya allah
wewe ni muislamu au shabiki wa uislamu hujui korani inasema kwenye pepo ya kiislamu kutakuwa na pombe za kumwaga na makahaba wengi, sipati picha mtakavyokuwa chakali huku mkipigana miti mbele ya allah
Wacha wapi kuna makahaba kwenye pepo, naona unataka kuwa paulo mpya, afu hizo pombe gani mbona mimi sijasikia kama kutakuwa na pombe kama hizi za duniani :biggrin:
Tuna hitaji Injili ya kweli, ambayo inahusu yote ambayo Yesu amefanya....Hio ndiyo Injili ya pekee inayo weza kuweka watu huru, msituletee za kina Paulo:nono: